Kama watu hawajielewi ipo haja ya kuwasaidia kujielewa.Media inawapa wanachotaka watanzania. Wewe angalia thread za kula tunda kimasihara zinacomments na views ngapi na zile zenye topic elimishi zina comment ngapi utaelewa. Media ni biashara ukijifanya unaelimisha wasikilizaji haba na matangazo hupati
Hii ni kweli radio nyingi na TV zimejikita kwenye mpira na hata huo mpira wenyewe hawaujui. Tunatengeneza taifa la wajinga haswa maana consumer wengi wa hizi habari za mpira ni wale wa hali ya chini ambao ni wengi sana hapa nchiniKama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.
Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.
Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.
Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.
Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.
Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.
Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.
Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.
Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Viongoz wenyewe wanapenda. Mwijaku rahs kuonana na spka kuliko weweKama watu hawajielewi ipo haja ya kuwasaidia kujielewa.
Hatuwezi kuendelea kujenga Taifa la hovyo namna hii watu wanajadili mpira asubuhi mchana na usiku.
Hii ndio kazi ya serikali sasa. Na inatakiwa kuact.
Makampuni ya betting nayo yanahusika na hii ni biashara kubwa kwao.Hii ni kweli radio nyingi na TV zimejikita kwenye mpira na hata huo mpira wenyewe hawaujui. Tunatengeneza taifa la wajinga haswa maana consumer wengi wa hizi habari za mpira ni wale wa hali ya chini ambao ni wengi sana hapa nchini
Hio ni kazi ya TBC ambao wanapata Ruzuku hivyo hata kazi ambazo hazina sponsors na hazina wateja wanaweza kuziweka so long as zinafundisha..., wengine hao sababu wapo business oriented wana-cater for the market (kwahio wanafanya kile wateja wanataka)Hii ni kweli radio nyingi na TV zimejikita kwenye mpira na hata huo mpira wenyewe hawaujui. Tunatengeneza taifa la wajinga haswa maana consumer wengi wa hizi habari za mpira ni wale wa hali ya chini ambao ni wengi sana hapa nchini
Kweli kabisaNi rahisi sana kutawala watu wajinga ndio maana wanatupumbaza kwenye mambo ya kijinga ili waendelee kututawala.
Serikali yeyote makini huwa ina control contents ya media.Hio ni kazi ya TBC ambao wanapata Ruzuku hivyo hata kazi ambazo hazina sponsors na hazina wateja wanaweza kuziweka so long as zinafundisha..., wengine hao sababu wapo business oriented wana-cater for the market (kwahio wanafanya kile wateja wanataka)
Anyway kwenye dunia ya sasa ya Video / Content on demand hizo media zenyewe unless zinabadilika ni dead man walking....
Biashara isiyo na uthibiti ni hatari kwa taifa. Radio ndiyo zilikuwa chanzo cha machafuko Kenya na Rwanda. Lazima zithibitiwe na contents za maudhui lazima yapimwe na kuonekana kama yana faida kwa jamii. Huwezi tu kuanzisha radio na kutangaza mambo unayokata ambayo hayana faida kwa jamiiHio ni kazi ya TBC ambao wanapata Ruzuku hivyo hata kazi ambazo hazina sponsors na hazina wateja wanaweza kuziweka so long as zinafundisha..., wengine hao sababu wapo business oriented wana-cater for the market (kwahio wanafanya kile wateja wanataka)
Anyway kwenye dunia ya sasa ya Video / Content on demand hizo media zenyewe unless zinabadilika ni dead man walking....
Huwezi kumpangia mtu binafsi aweke contents unazotaka wakati humpi hata senti na hata hizo contents unazotaka aweke huenda hazina sponsor (mwisho wa siku atakufa kifo cha kawaida)Serikali yeyote makini huwa ina control contents ya media.
Sio afya kuacha hali hii iendelee tunaharibu kizazi kijacho.
Faida ni nini ? Mpira, miziki na entertainment hazina faida ? Ni kweli matangazo ya kamari hayafai tena hata kipindi cha habari / prime time... hio inabidi ikatazwe lakini sio umpangie mtu aliyefungua TV / Radio sababu ya entertainment kwamba alete habari za Siasa..... Kipindi hiki cha Content on Demand huwezi kulazimisha watu kuangalia...Biashara isiyo na uthibiti ni hatari kwa taifa. Radio ndiyo zilikuwa chanzo cha machafuko Kenya na Rwanda. Lazima zithibitiwe na contents za maudhui lazima yapimwe na kuonekana kama yana faida kwa jamii. Huwezi tu kuanzisha radio na kutangaza mambo unayokata ambayo hayana faida kwa jamii