Constane Akitanda: CHADEMA hawajaleta malalamiko japo wana haki

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,839
7,502
Mwenyekiti wa chama Cha Kijamii (CCK) Constantine Akitanda, Akihojiwa na Thom Chilala na akinukuu sheria ya vyama vya siasa amesema ni muhimu serekali iheshimu katiba na sheria za vyama kuepusha machafuko. Amesema baraza limeshindwa kuendesha vikao kwa kukosa fedha.

Kikao cha mwisho kilifanyika desemba kwa ufadhili wa UNDP.
 
Constantine Achitanda ni nani? Na ni baraza lipi limeshindwa kuendesha vikao kwa kukosa pesa?

Tujitahidi kuwa in focus tunapopost thread humu JF kuondoa usumbufu kwa wasomaji.
 
Kwa hiyo anasubiri malalamiko ndiyo achukue hatua, mbona mutungi aliposikia UKUTA akaanza kuishutumu chadema kabla hata hajapata malalamiko kutoka serikalini wala maelezo ya chadema
 
Back
Top Bottom