wameshaivurumusha nimetafuta majukwaa yote had kule kwenye utambulisho cjaona..
Yaani mie nishatafuta hadi uvunguni mwa kitanda.
Hivi likud ni he au she?
Hii ID ya consolatha nakumbuka ilileta mtafaruku sana kwa madame b, kumbe si yeye kabisa masikini!
@x kwanini umefufua mambo yaliyokufa huoni kwamba kuna heshima ya mtu fulani iliyoanza kurudi utaishusha?????????
Hii mada ilileta mzozo afu umeirudisha tena,, sijaona sababu ya kuifufua tena unless kama unataka kusababisha mabishano na kushushiana hadhi.
Mkuu sina maana hiyo hata kidogo, kipindi hii mada inajadiliwa, mimi sikuipata vizuri sababu ya kuwa na mishe mishe kibao,
Yani hata kuipata kwake imekuwa kazi sana, nimetumia search engine ku-relate sana na JF mpaka nikaiona.
Samahani kama nimekukera.
sijaona umuhimu wowote wa kuifufua hii mada labda uniambie unataka kujifunza nini cha muhimuKwani tuko hapa kulindana miss N?
wenzio tunataka ukweli wa mambo, kama LIKUD yupo, tunahitaji mwendelezo wa mada haswaa kwa sababu inafunza sana!
Mnhhh.....