conrete mixer & water pump zinahitajika

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
1)Nahitaji concrete mixer
Capacity: kama cubic metre moja
Spea ziwe zinapatikana TZ

2)Petrol water pump.
Ni ya matumizi ya kawaida tu kama ku pump maji kutoka mtoni ili yasafirishwe kwenye tank la lita elf 5000
(iwe mobile)

Ushauri unahitajika pia
 
hiyo concrete mixer offer shiling ngapi ..kama used unataka sema nkuonganishe na mdosi mmja yuko saba saba anazo..hiyo ya cubic meter moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…