Connection za China na Uturuki

Connection za China na Uturuki

setumbijj

New Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4
Reaction score
2
Jamani naombeni kujua kama kuna anayeelewa juu ya watu wanaofanya mawasiliano ya moja kwa moja viwandani China na Uturuki. Biashara hii imekuwa ikifanywa sana na watu siku hizi ambapo wananunua bidhaa kwa bei rahisi sana China kutoka kiwandani moja kwa moja. Ukiacha Aliexpress, Alibaba, Amazon, Ebay n.k

Je, kuna mawasiliano mengine hawa watu wanayapata moja kwa moja viwandani?
 
Back
Top Bottom