kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 7,817
- 14,570
Wakuu kuanzia Jana usiku nikiweka vocha kwenye Simu rangu Nakutana na ujumbe huo hapo juu naomba Msaada wenu
Mkuu trick halotel Simu ni itel 32nambie n vocha ya mtandao gan
Chief Leo nimeweka vocha ya halotel Bado ujumbe unakuja huo,imebidi nijiunge kupitia Simu nyinginecode nyengine za ussd kama kuangalia salio ama mobile pesa zinafanya kazi?