congratulations to Messi

mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,531
0
Messi has now scored 86 goals in a calendar year surpassing gerd muller's record of 85 in a calendar year..is he the world's greatest player? is he the best of all time? only time would tell
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,038
2,000
Hongera sana mdogo wangu Messi.Jua kwamba,kaka yako nakupenda sana
 
Maganga Mkweli

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,096
2,000
statistically he is the best..leo the magican .. messii ....nasubiri rekodi ya world cup na hii naweka sala zangu na yeye anyanyue hili ndoo jeuri ya pele ipunguzwe.. messsiiiiiii
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,805
2,000
Messi has now scored 86 goals in a calendar year surpassing gerd muller's record of 85 in a calendar year..is he the world's greatest player? is he the best of all time? only time would tell
Pele na Maradona are the best of all time lakini Messi anatisha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,723
1,250
Big up Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tunakuombea ufike mbali, uzuri nidhamu yako na huna majivuno, na ndiyo maana ni kipenzi cha wengi.
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,805
2,000
Big up Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tunakuombea ufike mbali, uzuri nidhamu yako na huna majivuno, na ndiyo maana ni kipenzi cha wengi.
Kila mtu anamsifia Messi naskia yupo simple kweli,

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
SoNotorious

SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,420
1,195
akivaa jezi ya argentina uwezo unapotea hawezi kuwa the world greatest
 
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,272
1,250
Hamna mfano Wa Maradona kwenye dunia hii kwa sasa! Messi Hana hata kiwango cha Ronaldo Nazario Luis de Lima halafu uje useme ni greatest of all the time utaeleweka kweli?
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,372
2,000
Hamna mfano Wa Maradona kwenye dunia hii kwa sasa! Messi Hana hata kiwango cha Ronaldo Nazario Luis de Lima halafu uje useme ni greatest of all the time utaeleweka kweli?
Natamani Dark City na Mwana Mtoka Pabaya wakusome afu wakuelewe.
 
Last edited by a moderator:
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,270
1,500
Natamani Dark City na Mwana Mtoka Pabaya wakusome afu wakuelewe.

Ni haki yake bwana...hii dunia tunaiona kwa macho tofauti...ndiyo maana si kila mtu anakubali kwamba kama rangi ni red basi ni red kwa wote...

Juzi juzi niliona documentary ya Maradona na ilionesha jinsi alivyoshindwa kucheza mpira katika timu bora ulaya..

Kwa hiyo labda mwenzetu anajua zaidi ya tunayoyajua..

Babu DC!!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,425
2,000
Naam kwa maoni yangu ili kuweza kuingia katika kundi hilo la wakali wa kutandaza kandanda duniani lazima uwe umeonyesha ukali wako hata katika kuichezea timu ya Taifa lako pia maana ukali hautakiwi uishie kwenye club yako tu bali hata ukivaa jezi ya Taifa unatakiwa uonyeshe uwezo wako mkubwa wa kusakata soka kama akina Pele, Maradona, George Best, Gerd Muller, Tostao, Jairzinho n.k.

akivaa jezi ya argentina uwezo unapotea hawezi kuwa the world greatest
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,805
2,000
Mapenzi yakizidi sana ndo tabu yake, Messi anapiga mpira wa njaa lakini huwezi kumfananisha na Maradona , Pele , Au hata "ronaldo de Lima"

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Top Bottom