Congratulations BO'... Pictures!

Congratulations BO'... Pictures!

Nimeona Yahoo news wanamchambua mama Obama eti ooh amerudia nguo mara tatu
wengine wanasema ni vyema mbona sie tunavaa jeans moja miaka mitano mpaka saba..lakini yeye kila anaporudia nguo ..Designer wa nguo anamlipa kila anapoivaa ..Afadhari Hajatumia Tax zetu kununua nguo mpya
wamarekani bwana ..:typing::gossip:
 
Picha nzuri sana!

I like his daughters, ni warembo kwelikweli, on Sasha amekua sasa.

Hongera familia ya BO!
 
Mngebandika pia picha za jinsi supporters wa Mitt Romney walivyo react kwenye "War Room" yake Boston jana usiku baada ya kung'amua kuwa their "Great White Hope" has just been defeated.

Mngeona jnsi ambavyo virtually 100% of the faces in the crowd were White.

By the way, 88% of people who voted for Romney in this election are White.

Nyengine hii hapa....

_63975911_63975910.jpg


Republican supporters were left to wonder what might have been despite the fact that several swing states, including Florida and Virginia, had yet to report results.


_63976377_63976376.jpg


Mr Romney, the former governor of Massachusetts, called the president to concede the election. He then delivered a brief speech, in which he said: "The nation chose another leader, and so Ann and I join with you to pray for him and for this great nation."
 
Nyani Ngabu kavimba mpaka anataka kupasuka hizi picha zinampa shinikizo ladamu....
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu kavimba mpaka anataka kupasuka hizi picha zinampa shinikizo ladamu....
Nilisha sema nimeota Obama anashinda mpaa Florida, katazameni ile thread ya mtoto wa mjini na ndoto zangu huwa ni za kweli.
 
Mbona hukuwataja Mami @Nyani Ngabu na martina wa JF? Hawa nao wana hali mbaya sana sasa huko huko waliko ukweni kwao USA. Nilipoona Netanyahu kashaufyata Mkia, nikajua THE GAME IS OVER. Hawa Waisrael kwa kweli wapo well informed. Nafikiri walishasoma maneno ya Jay-Z kuwa "The Ball so hard" na wakaamua wajikalie kimya kusubiri maumivu ya Obama kurudi Jumbe Jeupe.

Mie wasiwasi wangu ulikuwa kumrudisha George Bush mwingine ambaye angeleta vita duniani. USA ikipata mafua, basi dunia nzima ina homa. Salama yetu wengi ni USA akiwa mzima. Namuombea Obama airudishe USA barabarani ili mataifa mengi yapate nafuu.
Mitt Romney baada ya kupiga kampeini kwa zaidi ya miaka sita sasa na kutumia zaid ya Bilioni sita kwa jumla, sasa analzimika akae kimya kabisa. Aache tena kimbelembele cha kukosoa mambo yanayofanywa na mwenzake wakati umma umemkataa.

Nawahurumia watu wengi sana waliochoma pesa zao kumwondoa Obama madarakani: hasa hawa wafuatao

  1. Donald Trump na upumbavu wake birth certificate na college transcripts.
  2. Jack Welch na uropokaji wake wa Chicago boys changed the numbers
  3. Thomas Peterffy na matangazo yake ya kibinafsi yasiokuwa na punje ya ukweli yanayodai slippery slope:
  4. Wachimba makaa ya mawe wote waliotoa matangazo yao ya Energy voter kwa zaidi ya miaka mitatu, mpkata ikafikia kuwa kero " I am an energy voter..."
  5. Koch Brothers na matajiri wote wa mafuta huko Texas waliokuwa na matangazo mazito sana dhid ya EPA
  6. Sheldon Anderson na matajiri wenzake wote wenye Cassinos huko Las Vegas waliokuwa wakimwaga hela dhidi ya Obama kama utitiri.
  7. Grover Norquist na mikataba yake ya kodi
 
Sidhani kama watakuwa wanamlipa maana inaweza kuzuka scandal. Nasema sidhani kwa sababu sijawahi kuona RAIS akitangaza bidhaa za biashara. Ina maana kwa kuvaa kwake nguo na akalipwa, atakuwa anatangaza biashara za watu na hiyo nafikiri nchi nyingi wanaipiga marufuku.

Ndiyo maana kuna balozi mmoja wa Tanzania alifungua Bar huko Sweden na wakampiga STOP. Wakamwambia au aache Ubalozi awe mfanya biashara au afunge biashara. Nafikiri ukishakuwa na cheo fulani, basi baadhi ya vitu huruhusiwi kufanya. Sasa hebu fikiria kama Obama mwenyewe angelikuwa anashonewa nguo na akina Prado na wanamlipa, si Mafisadi wangelikuwa wanaingia Jumba Jeupe kila siku na masanduku ya Fedha/Nguo....

Nafikiri sanasana anakuwa anashonewa nguo na watu fulani. Ingawa ninavyofahamu, ni kuwa huwa anaingia dukani mwenyewe na kujichaguliwa randomly. Ila tu hapa washauri watakuwa sanasana wanamwambia kwenda kwenye maduka ambayo OWNER ni wananchi wa USA. Ukishaona Mama Obama kavaa nguo yako, sanasana unaweza kwenda kusaidia pesa kwenye foundation yake kama ASANTE.

Papa ninavyofahamu, ana washonaje wake wa nguo na viatu. Kwa miaka mingi sana zimekuwa ni familia fulani tu wanafanya hiyo kazi. Ila mara nyingi wanakuwa wamefungwa kwa mikataba kuwa hawatashonea watu wengine nguo.

Nimeona Yahoo news wanamchambua mama Obama eti ooh amerudia nguo mara tatu
wengine wanasema ni vyema mbona sie tunavaa jeans moja miaka mitano mpaka saba..lakini yeye kila anaporudia nguo ..Designer wa nguo anamlipa kila anapoivaa ..Afadhari Hajatumia Tax zetu kununua nguo mpya
wamarekani bwana ..:typing::gossip:
 
Sidhani kama watakuwa wanamlipa maana inaweza kuzuka scandal. Nasema sidhani kwa sababu sijawahi kuona RAIS akitangaza bidhaa za biashara. Ina maana kwa kuvaa kwake nguo na akalipwa, atakuwa anatangaza biashara za watu na hiyo nafikiri nchi nyingi wanaipiga marufuku.

Ndiyo maana kuna balozi mmoja wa Tanzania alifungua Bar huko Sweden na wakampiga STOP. Wakamwambia au aache Ubalozi awe mfanya biashara au afunge biashara. Nafikiri ukishakuwa na cheo fulani, basi baadhi ya vitu huruhusiwi kufanya. Sasa hebu fikiria kama Obama mwenyewe angelikuwa anashonewa nguo na akina Prado na wanamlipa, si Mafisadi wangelikuwa wanaingia Jumba Jeupe kila siku na masanduku ya Fedha/Nguo....

Nafikiri sanasana anakuwa anashonewa nguo na watu fulani. Ingawa ninavyofahamu, ni kuwa huwa anaingia dukani mwenyewe na kujichaguliwa randomly. Ila tu hapa washauri watakuwa sanasana wanamwambia kwenda kwenye maduka ambayo OWNER ni wananchi wa USA. Ukishaona Mama Obama kavaa nguo yako, sanasana unaweza kwenda kusaidia pesa kwenye foundation yake kama ASANTE.

Papa ninavyofahamu, ana washonaje wake wa nguo na viatu. Kwa miaka mingi sana zimekuwa ni familia fulani tu wanafanya hiyo kazi. Ila mara nyingi wanakuwa wamefungwa kwa mikataba kuwa hawatashonea watu wengine nguo.

Asante Sikonge kwa ufafanuzi hii nimeikuta kwenye yahoo.
 
Last edited by a moderator:
slide_261799_1731150_free.jpg


Indonesian school children erupt into cheers on hearing the announcement that U.S. President Barack Obama had won the U.S. presidential election at SDN 01 Menteng elementary school to which Obama once attended in Jakarta, Indonesia, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama attended the school when he was a child while living in Indonesia. (AP Photo)



slide_261799_1731128_free.jpg


Cyclists ride on a beach passing by a sand sculpture congratulating U.S. president Barack Obama for a second term in office in Puri, India, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama captured a second White House term, blunting a mighty challenge by Republican Mitt Romney as Americans voted for a leader they knew over a wealthy businessman they did not.



slide_261799_1731126_free.jpg




slide_261799_1731138_free.jpg


An American supporter of President Barack Obama holds a flag and sports a T-shirt which has a portrait of Obama and a phrase that reads 'Bangalore has hope' during a screening of U.S. elections coverage organized at a restaurant over breakfast in Bangalore, India, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama captured a second White House term, blunting a mighty challenge by Republican Mitt Romney as Americans voted for a leader they knew over a wealthy businessman they did not. (AP Photo/Aijaz Rahi)
 

slide_261799_1731157_free.jpg


Sarah Obama, step-grandmother of President Barack Obama, waves her walking cane towards supporters in celebration before speaking to the media about her reaction to Obama's re-election in the U.S. presidential election in the garden of her house in the village of Kogelo, western Kenya, Wednesday, Nov. 7, 2012.

 

slide_261799_1731153_free.jpg


U.S citizens celebrate U.S. presidential election results in Mumbai, India, Wednesday, Nov. 7, 2012. President Barack Obama captured a second White House term, blunting a mighty challenge by Republican Mitt Romney as Americans voted for a leader they knew over a wealthy businessman they did not.



slide_261799_1731674_free.jpg

 

slide_261799_1731158_free.jpg


A Kenyan supporter of U.S. President Barack Obama cheers as he watches a broadcast showing that Obama has won the U.S. presidential election for a second term, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama won re-election Tuesday night despite a fierce challenge from Republican Mitt Romney, prevailing in the face of a weak economy and high unemployment that encumbered his first term and crimped the middle class dreams of millions. (AP Photo/Sayyuid Azim)



slide_261799_1731662_free.jpg


Villagers ride motorcycles and wave branches to celebrate Obama's re-election, in the village of Kogelo, home to Sarah Obama the step-grandmother of President Barack Obama, in western Kenya Wednesday, Nov. 7, 2012. (AP Photo/Ben Curtis)
 

slide_261799_1731137_free.jpg


U.S. embassy staff, Iraqi guests, and ambassadors listen to the speech of U.S. re-elected President Barack Obama at the U.S. Embassy in Baghdad, Iraq, Wednesday, Nov. 7, 2012. (AP Photo/Khalid Mohammed, Pool)



slide_261799_1731131_free.jpg


A man reads a Spanish newspaper with the smiling portrait of U.S. President Barack Obama on his front page, in Pamplona northern Spain, Wednesday, Nov. 7, 2012. It is announced early Wednesday that Obama has been re-elected to be U.S. President for next four years. (AP Photo/Alvaro Barrientos)


slide_261799_1731132_free.jpg


Indian Muslim students pose for photographs near cutouts of U.S. President Barack Obama, background right, and Republican candidate Mitt Romney during an event organized by the U.S. Embassy in Chennai, India, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama captured a second White House term, blunting a mighty challenge by Romney as Americans voted for a leader they knew over a wealthy businessman they did not. (AP Photo/Arun Sankar K.)



slide_261799_1731127_free.jpg

 

slide_261799_1731156_free.jpg


President Obama supporters gesture and celebrate upon hearing the presidential election results on Wednesday, Nov. 7, 2012, in Singapore. Obama won re-election Tuesday night despite a fierce challenge from Republican Mitt Romney, prevailing in the face of a weak economy and high unemployment that encumbered his first term and crimped the middle class dreams of millions.



slide_261799_1731680_free.jpg


U.S. Ambassador to Japan John Roos, center, and Japanese high-school students celebrate reports that President Barack Obama won the presidential election at the U.S. Embassy in Tokyo Wednesday, Nov. 7, 2012.



slide_261799_1731130_free.jpg


Indian students react in front of photographers next to a cardboard cutout in the likeness of U.S. President Barack Obama after he was projected as the winner during an event organized by the U.S embassy at the landmark Imperial Hotel in New Delhi, India, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama defeated Republican presidential candidate Mitt Romney for a second term. (AP Photo/Kevin Frayer)



slide_261799_1731664_free.jpg


U.S. citizens Jaspal Singh, right, and Jane Ludin break into a dance as President Barack Obama's win becomes certain, during a live telecast of U.S. presidential election results organized by the U.S. Embassy in New Delhi, India, Wednesday, Nov. 7, 2012.



slide_261799_1731661_free.jpg

 

slide_261799_1731135_free.jpg


A young woman poses for a photo with a cutout of President Barack Obama, right, beside a cutout of Republican candidate Mitt Romney, left, during an election night event organized by the U.S. embassy in Skopje, Macedonia, early Wednesday, Nov.7, 2012.



slide_261799_1731140_free.jpg


A shop assistant watches US President Barack Obama speaking on TV screen in Moscow TV shop, Russia, Wednesday, Nov. 7, 2012. Obama defeated Republican challenger former Massachusetts Gov. Mitt Romney.
(AP Photo/Mikhail Metzel)




slide_261799_1731155_free.jpg




slide_261799_1731147_free.jpg


Guests watch live television coverage showing the victory of U.S. President Barack Obama, Wednesday Nov. 7, 2012, in Shanghai, China. (AP Photo/Eugene Hoshiko)
 

slide_261799_1731134_free.jpg


Palestinians at a barber shop watch a televised speech by U.S. President Barack Obama after his vicotry, in the West Bank town of Jenin, Wednesday, Nov. 7, 2012.(AP Photo/Mohammed Ballas)



slide_261799_1731666_free.jpg


A Muslim woman poses for a photo with a cutout of President Barack Obama during a victory celebration for Obama in the U.S. presidential election in an event hosted by the U.S. Embassy in Jakarta, Indonesia, Wednesday, Nov. 7, 2012. (AP Photo/Tatan Syuflana)
 
article-2229644-15E3E95D000005DC-307_312x323.jpg


Hapo juu, ndoto za Mitt Romney na mkewe, Ann Romney za kuwa POTUS na FLOTUS hatimaye zimeishia ukingoni, na wanaondoka kwa aibu na majonzi baada ya kutumia miaka 8 na dola bilioni moja kujinadi.
 
Back
Top Bottom