So pleased in my heart!!! Congratulations BO, Michele and daughters Malia and Sasha!!! Fanikio la mwanaume linaanzia kwa upendo or say bond nzuri katika familia!!! Mwanaume anaheshimika kwa aina ya familia aliyoweza kuongoza na kukuza na maadili na si kwa utajiri aliojilimbikizia huku familia ikiwa kama ya kibaka!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.