Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
best family image ever
2015 wakati tanzania inapata Rais mpya mje mtuwekee na picha zake yeye mkewe na watoto wake pia sawa sio tunawa admire wamarekani huku tunawadiss wa kwetu :happy:
Mngebandika pia picha za jinsi supporters wa Mitt Romney walivyo react kwenye "War Room" yake Boston jana usiku baada ya kung'amua kuwa their "Great White Hope" has just been defeated.
Mngeona jnsi ambavyo virtually 100% of the faces in the crowd were White.
By the way, 88% of people who voted for Romney in this election are White.