Congo DR na lugha ya Kifaransa

Mwafrikamtanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,060
Reaction score
1,339
Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (Congo DR) imetawaliwa na Ubelgiji (Belgium) tangu 1885 hadi 1960.

Kwa nini KIFARANSA ni LUGHA rasmi nchini humo?
Uzi tayari.
 
Sio wote wanaongea kikongo wengi huongea kiswahili kilicho changanyana na kifaransa ila wengi kifaransa hawajui labda waliopita shule na ni baadhi yao
 
Sio wote wanaongea kikongo wengi huongea kiswahili kilicho changanyana na kifaransa ila wengi kifaransa hawajui labda waliopita shule na ni baadhi yao
Nikusaidie kdg , Kinshasa ndio sehemu inayoongea kifaransa zaidi Africa

Kiswahil congo kinaongelewa zaidi Mashariki na Katanga
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…