Congo based Rwandan FDLR rebels ready to surrender to UN

ahahahahahhaah JMALI umenichekesha kabisa,unamaanisha kwamba wanao support kagame ni watusi wa kitanzania siyo,sasa nataka unieleze wanao support interahamwe na FDLR ni watanzania wa aina gani???
Hahh!hapo kwenye red ume gusa exactly pale nilipokuwa nataka.
 
ahahahahahhaah JMALI umenichekesha kabisa,unamaanisha kwamba wanao support kagame ni watusi wa kitanzania siyo,sasa nataka unieleze wanao support interahamwe na FDLR ni watanzania wa aina gani???

Haijawahi kuthibitika popote pale kuwa interahamwe inapata support kutoka Tanzania. Pili, the little support for FDLR ni support ya politically sio militarily. Jipange upya.
 
Usipotoshe japo umefanya vizuri kukili kuwa FDRL inapata political support from Tanzania lakini mtoa mada kakuuliza kama wote wanaomsupport Kagame ni wa Tutsi kutoka nje kama usemavyo, JE NYIE MNAO SUPPORT INTERAHAMWE NI KINANANI??.
Hakuiongelea Tanzania, anaongelea individuals mainly you.
 
Here we go again! Call it little or big, if not inluenced by evil/cash how the hell can some one give political support to a genocidal forces? Remember FDLR = Interahamwe period!
However. Just for clarification you should call the UN or ask your FDLR leaders themselves in case you are not aware of the UN resolution on FDLR, I know you are in touch with them as their representative in Tanzania.
By the way I hope Tanzanians are not aware that their president is colaborating with the evil.
 
Usipotoshe japo umefanya vizuri kukili kuwa FDRL inapata political support from Tanzania lakini mtoa mada kakuuliza kama wote wanaomsupport Kagame ni wa Tutsi kutoka nje kama usemavyo, JE NYIE MNAO SUPPORT INTERAHAMWE NI KINANANI??.
Hakuiongelea Tanzania, anaongelea individuals mainly you.

Mkuu charactaristics za interahamwe ndizo hizo. Akibanwa ana misquote mtu halafu anajibu. Huyu jama ni "intellectual" bwana.
 
Back
Top Bottom