Umsolopogas
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 256
- 69
.SADC haina interest na FDLR kuwa chama cha siasa, sijui kwanini mnajiaminisha hivyo.
Kinachopiganiwa ni amani Congo. Waweke silaha chini, wawe wakimbizi kama walivyokuwa Mpanda, au warudi Rwanda wakapigane humohumo ndani ya Rwanda.
Nobody is interested in the "Real" banana republic affairs. We are more interested with Congo,they have a huge economic potential.
Hao wengine wasilete chokochoko,watapata kibano alichopata banyamulenge.
Wapigane ndani ya Rwanda? Hivi huko imebaki hata sehemu ya kukanyaga kweli? Milima 1000. Watu milioni 10?. Wewe unafikiri kwa nini wanaitaka kivu kusini. Nchi imejaa ati. Oh! Nimesahau na gorila.