Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Mwenzao hataki wajiite 'political party'...kama nimemsoma vizuri...au waheshimiwa wa marketing waje hapa watufafanulie kama huu walaka una mashiko as far as Rwanda especially RPF is concerned...
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.
Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon
Hivi kumbe umeleta mada bila kuisoma...
Si wamesema wanaweka silaha chini au?????
Wanaweka silaha chini wanaunda chama ...au mimi ndio sijaelewa?????
Kwa uzoefu wangu najua hawawezi kuweka zote hio ni kama njia tu ya kuingia na kuleta machafuko

Sisi tunasubiri deadline iliyotolewa na UN..
.SADC haina interest na FDLR kuwa chama cha siasa, sijui kwanini mnajiaminisha hivyo.Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.
Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?.SADC haina interest na FDLR kuwa chama cha siasa, sijui kwanini mnajiaminisha hivyo.
Kinachopiganiwa ni amani Congo. Waweke silaha chini, wawe wakimbizi kama walivyokuwa Mpanda, au warudi Rwanda wakapigane humohumo ndani ya Rwanda.
Nobody is interested in the "Real" banana republic affairs. We are more interested with Congo,they have a huge economic potential.
Hao wengine wasilete chokochoko,watapata kibano alichopata banyamulenge.
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.
Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?
Watanzani mko DRC na wala hamjielewi mko huko kwa masilahi ya nani...mko kule kwa masihi ya south afrika only.
Hivi kumbe umeleta mada bila kuisoma...
Si wamesema wanaweka silaha chini au?????
Wanaweka silaha chini wanaunda chama ...au mimi ndio sijaelewa?????
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?
Watanzani mko DRC na wala hamjielewi mko huko kwa masilahi ya nani...mko kule kwa masihi ya south afrika only.
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.
Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon
Kwa uzoefu wangu najua hawawezi kuweka zote hio ni kama njia tu ya kuingia na kuleta machafuko
'Sisi' ndio kina nani?
kwa maneno mengine unataka wapigwe tu, wether wanaweka silaha chini or not au?