Congo based Rwandan FDLR rebels ready to surrender to UN

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
arton9610.jpg

The D.R Congo based Rwandan FDLR rebels in a letter dated November 3, addressed to President Joseph Kabila of the DRC, Martin Koble; the head of MONUSCO, SADC and and the International Conference for the Great Lakes Region (ICGLR) have expressed their readiness to sending their fighters into a collection center designed by MONUSCO.

Major General Victor Byiringiro, head of the Rwandan armed group active in eastern DRC for nearly two decades said his forces are ready to start movement to a camp set up by MONUSCO in kisangani from November 17th.

In the letter the rebels said they are "available" for reconnaissance visit to the site chosen for their camp in Kisangani, North Kivu in Eastern Democratic Republic of Congo.

Currently about 200 FDLR fighters have been grouped in transit camps in Kanyabayonga in North Kivu, and Walungu, South Kivu.

Bazeye Son La Forge; the FDLR spokesman confirmed to Jeune Afrique saying; "This is a new gesture of good faith. We are committed to transforming this insurgency in to a political struggle in Rwanda."

Countries in the region had given the Congo based Rwandan rebels a last ultimatum of six months; which expires on January 2, 2015, to voluntarily lay down their arms or face military action.

The FDLR consists of Hutu fighters and families that fled Rwanda after the Rwanda Patriotic Front (RPF), led by president Paul Kagame, took over the country in 1994. FDLR ranks include armed members of one of the militia that carried out the 1994 Rwanda genocide, who have been in neighboring Congo ever since. Some of their members are accused of genocide, mass rape and trying to overthrow the Rwandan government.

Source: New Vision

http://www.newvision.co.ug/news/661555-congo-based-rwandan-fdlr-rebels-ready-to-surrender-to-un.html
 
Mwenzao hataki wajiite 'political party'...kama nimemsoma vizuri...au waheshimiwa wa marketing waje hapa watufafanulie kama huu walaka una mashiko as far as Rwanda especially RPF is concerned...
 
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.

Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon
 
Hivi kumbe umeleta mada bila kuisoma...
Si wamesema wanaweka silaha chini au?????

Wanaweka silaha chini wanaunda chama ...au mimi ndio sijaelewa?????

Wanaingia kambini kama wa South walivyokuwa wanaishi Mazimbu...mpaka kieleweke...waweze kupewa nafasi ya kugombea nafasi za kisiasa...simple...au unataka kusema wanaenda kambini na silaha zao?????
 
Hivi kumbe umeleta mada bila kuisoma...
Si wamesema wanaweka silaha chini au?????

Wanaweka silaha chini wanaunda chama ...au mimi ndio sijaelewa?????

Kwa uzoefu wangu najua hawawezi kuweka zote hio ni kama njia tu ya kuingia na kuleta machafuko
 
yani wala wasikuumize kichwa! hizo nyodo wanawaletea huko DRC tu! huku kwetu tushawaambia hawana cha kutufundisha sema sisi ndio tunatakiwa tuwatoe sumu zao kusudi waweze kuishi na binadamu wa kawaida, hawataki watajijua na nchi za kimataifa au wapeleke malalamiko yao kwa msanii mkuu walipane!
 
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.

Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon
.SADC haina interest na FDLR kuwa chama cha siasa, sijui kwanini mnajiaminisha hivyo.
Kinachopiganiwa ni amani Congo. Waweke silaha chini, wawe wakimbizi kama walivyokuwa Mpanda, au warudi Rwanda wakapigane humohumo ndani ya Rwanda.
Nobody is interested in the "Real" banana republic affairs. We are more interested with Congo,they have a huge economic potential.
Hao wengine wasilete chokochoko,watapata kibano alichopata banyamulenge.
 
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?
Watanzani mko DRC na wala hamjielewi mko huko kwa masilahi ya nani...mko kule kwa masihi ya south afrika only.
 
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.

Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon

Mkuu habar yako..

Kwanza pole kwa kukoxa nafasi ya kwenda BIG BROTHER AFRICA..
Pengne hiki ndo kmekuchanganya hadi umekuwa mropokaji sikuhiz.
Unaonge uschokielewa na usichokijua.
 
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?
Watanzani mko DRC na wala hamjielewi mko huko kwa masilahi ya nani...mko kule kwa masihi ya south afrika only.

Hivi mkuu M23 ina mpango gani wa kurudi DRC?
 
Hivi kumbe umeleta mada bila kuisoma...
Si wamesema wanaweka silaha chini au?????

Wanaweka silaha chini wanaunda chama ...au mimi ndio sijaelewa?????

Mkuu huyu jamaa ana utata. Anaongea kitu ambacho ni cha kufikirika.
Mi naona bado hawa jamaa wana visasi chini kwa chini. Wanategeana.
 
Ahaha..kweli wewe umechoka kufikiria...utasemaje kwamba SADC haina interest na interahamwe?kwanza elewa kwamba SADC ni south afrika peke yake hawa wengine ni bendera fuata upepo,South afrika masilahi yake ni uchumi tu haina urafiki na yeyote..tz kwenda kongo waliombwa SA kwani waliona ndio wakufa,kabila kapakia pesa kwenye account za akina jk..ili watanzania wakafie huko..kama kweli unaakili timamu utaacha kulimda madini yako..uende ukalinde ya wengine?je..tanzania itakua inaumizwa na maendeleo ya rwanda kutokana na madini ya DRC?mbona wachina na wa south afrika wanatajirika kwa madini ya tanzania mnampango gani kwa hilo?
Watanzani mko DRC na wala hamjielewi mko huko kwa masilahi ya nani...mko kule kwa masihi ya south afrika only.

Mkuu, duh, wakati mwingine unaongea vizuri, na wakati mwingine unaongea uozo. TZ na SA wana urafiki wa muda mrefu na wakufaana wakati wa shida.
Hayo unayoongea ni mambo ya bra bra za mitaani.
Kijana rais wa Congo ni kijana wetu. Wala husiogope kabisa. Hivi M23 walipotelea wapi?
 
Wataanzishaje political party wakati wako na siraha!! mi naona awa wanataka kutumika kuleta machafuko.

Kwa sasa Rwanda hawataki tena vita wako wanajenga nchi yao.Hao waasi inabidi wafikishwe kwa pilato na sio kuunda chama wakati wana bunduki mkonon

1. mbona RPA walikuwa na silaha, walikuwa waasi na bado walikuwa political party?
2. wanaweka silaha chini, sasa hapo nini kinazuia wao kuwa political party?
 
kwa maneno mengine unataka wapigwe tu, wether wanaweka silaha chini or not au?

kwa style hiyo hapigwi mtu, kama umeamua kuweka siraha chini huku kwenu unapokelewa kwa mikono yote miwili kama tufanyavyo kila siku mkiibuka kutoka kwenye misitu ya DRC ila cha muhimu sio siraha tu kama unavyojuwa Jmali, lazima tukupitishe kwenye chuo chetu cha kutemesha sumu maana nasikia huko msituni mnajiona nyinyi ndio watu na wengine sio watu na lazima wauwawe, huku sio hivyo, lazima ujifunze ustaarabu wa kuishi na watu
 
Back
Top Bottom