shule zetu kama AZANIA na zile za Lowasa ni swa? Undahani kwa nini kaongoza?Kwani wameongoza wachina tu? Usipende
kujiona hufai..... huwez linganisha uwezo wa mtu mmoja mmoja na society nzima...... kama hivo kuna waafrica kibao tu Havard wanatesa.....
shule zetu kama AZANIA na zile za Lowasa ni na hiyoo yao ni swa be fair please?binti wa kichina congcon wang feza girls ameshika nafasi ya pili kitaifa mtihani wa form four akiwa na As zaidi ya saba.
kaburuza hadi kishwahili..watz tumekariia siasa..lakini hata civic yenyewe hatujui..
tunasafari ndefu watz..
Kushinda kwa shule siyo suala la kuwa genius. Hizi shule wanatafuta waalimu wanaomudu masomo wayafundishayo. Pili kuna facilities zote na tatu usimamizi wa shule kuhakikisha kila mwalimu anatimiza wajibu ni mzuri. Hata hivyo wana tabia ya uchaguzi wa watoto wanofundishika. Hawachukia mwanafunzi yeyote yule bila vigezo.kuna jambo linanitatizaga sana hivi shule zinazoendana na feza huwaga wanafunzi wake nima geneus sana?????
Kushinda kwa shule siyo suala la kuwa genius. Hizi shule wanatafuta waalimu wanaomudu masomo wayafundishayo. Pili kuna facilities zote na tatu usimamizi wa shule kuhakikisha kila mwalimu anatimiza wajibu ni mzuri. Hata hivyo wana tabia ya uchaguzi wa watoto wanofundishika. Hawachukia mwanafunzi yeyote yule bila vigezo.
Wametuzidi mpaka kwenye elimu yetu!!! Kazi tunayo... anastahili pongezi sana...angekua mtoto wangu ningempelea china kabisa akasome huko!!binti wa kichina congcon wang feza girls ameshika nafasi ya pili kitaifa mtihani wa form four akiwa na As zaidi ya saba.
kaburuza hadi kishwahili..watz tumekariia siasa..lakini hata civic yenyewe hatujui..
tunasafari ndefu watz..
AMEPATA B YA KISWAHILIbinti wa kichina congcon wang feza girls ameshika nafasi ya pili kitaifa mtihani wa form four akiwa na As zaidi ya saba.
kaburuza hadi kishwahili..watz tumekariia siasa..lakini hata civic yenyewe hatujui..
tunasafari ndefu watz..
Hilo la mwisho ndio jibu la swali la muulizaji,, shule zoote zinazo faulisha vizuri wanachukua watoto ambao ni bright ndio maana kuna mitihani ya michujo na ukishindwa unarudi nyumbani , na wastan ni mkubwa tofauti na shule za serikali ambazo ni zoaKushinda kwa shule siyo suala la kuwa genius. Hizi shule wanatafuta waalimu wanaomudu masomo wayafundishayo. Pili kuna facilities zote na tatu usimamizi wa shule kuhakikisha kila mwalimu anatimiza wajibu ni mzuri. Hata hivyo wana tabia ya uchaguzi wa watoto wanofundishika. Hawachukia mwanafunzi yeyote yule bila vigezo.
kuna jambo linanitatizaga sana hivi shule zinazoendana na feza huwaga wanafunzi wake nima geneus sana?????
kwa elimu yetu ya hapa tz bado hatujafikia kumfanya mwanafunzi ajielewe akiwa na umri mdogo niwachache sana waliojaliwa na mungu ila siyo mazingira rafiki ya ufundishajiHilo la mwisho ndio jibu la swali la muulizaji,, shule zoote zinazo faulisha vizuri wanachukua watoto ambao ni bright ndio maana kuna mitihani ya michujo na ukishindwa unarudi nyumbani , na wastan ni mkubwa tofauti na shule za serikali ambazo ni zoa
zoa
Sasa hebu nambie mtoto anaingia sekondari hajui hata kuandika unategemea miaka minne imbadilishe apate div 1???? Tizama st. Francis wanachuja wanafunzi tangu wanapo anza form one na hata kujiunga tu na masomo kuna mchujo tena mkubwa na maksi za juu.
Hivyo usitegemee mtoto asiye jiweza atapata nafasi hapo kama hana uwezo.
Jambo lingine unatakiwa kujua swala la mtoto kufaulu kwanza linaanza na jitihada binafsi za mwanafuzi mwenyewe nafasi ya mwalimu katika ufahuli wa mwanafunzi ni ndogo sana ili mradi anafundisha yaliyo ndani ya silabasi.
Kama mtoto hana jitihada binafsi hata mwalimu afundishaje mtoto hawezi kufahuru, nadhan utakuwa shahid idadi kubwa ya wanafunzi wanao fahuru vizuri ni wale wanao jituma kusoma kwa bidii, na wale wanyoa viduku na masista duu ndio wanao pata 0 na 4 kwa vile hawana jitihada binafsi
nahisi pesa inahusika kwa 85% katika hizi shuleits all about money! kila miaka wao tu! kutakuwa na kamchezo flani wanafanya every year, shule huwa ni zilezile top10 kila mwaka du!
Rekebisha uzi wako, sio binti wa kichina huyu ni mtanzania mwenye asili ya China. Amezaliwa hapa na ana uraia wa hapa.
...Kwa kawaida watu wenye asili ya China au waHan wanafanya vizuri zaidi katika masomo shuleni kuliko jamii nyingi duniani.Kwahiyo unamaanisha wachina hawana akili au ulitaka awe wa ngapi vile??
basi ni mtanzania na siyo mchina furahi na shangiliaRekebisha uzi wako, sio binti wa kichina huyu ni mtanzania mwenye asili ya China. Ana uraia wa hapa.