Mfano wakufa ni mtu akilala nakuota ndoto, kwenye ndoto unaweza ukaenda marekani apoapo ukawa china. Kwaiyo ukifa roho yako itabaki inaelea tu duniani mwili ndio unaoza. Ndomaana mtu akilala unaweza ukambeba ukamlaza chini bila kujua sababu roho huwa temporarily imeachana na mwili. Hayo unaweza kuya prove kwa kuangalia kimila zaidi. Wanaokwenda kutambikia kwenye makabuli tambiko likiwa sussessiful utaona vitu pale may b panzi wengi wanaruka wanakuja pale nk. Ndomaana mtu mfano mzazi akakuambia nikifa usikanyage kabuli langu...kweli ukienda utasikia mtu hata anaweza anguka au kupoteza fahamu. Roho inakuwa nanguvu sana dhidi ya roho iliyopo ndani yamwanadamu. Wengine utawasikia makabulini kuna mauza uza sana. Kunarafiki yangu alikuwa anapenda kwenda kuvuta bange pale makabuli ya sinza, anadai wakati wanavuta nawenzake huwa wanakaa juu ya makabuli, sasa kuna kabuli mojawapo lilikuwa linawapiga shoti ya umeme.
Saanyingine huwaga najiuliza Mungu ameficha wanadamu kujua what happens after death maana huenda nikuzuli kuliko huku duniani na labda watu wangejua siajabu wangekuwa wanajiua tu kukimbia matatizo duniani.
Swali jingine. Kwanini wengi nasikia mtu akifa lazima anye kidogo, wengine anakufa kwa kutapatapa, mwingine anatoa sauti ya kutishika km kaona kitu flani, mwingine anafumba tu macho?