ALLAN MMBANDO
New Member
- Jul 30, 2013
- 3
- 0
Wadau,
TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe 25 mwezi huu, na TCU watafanya final approval na kuyatangaza mwisho wa mwezi huu.
Chanzo: Gazeti la Citizen la leo. TCU to release list of successful candidates soon - National - thecitizen.co.tz
Tume yenyewe bado
haljatangaza rasmi but kuna baadhi ya vyuo vimetoa majina kwa baadhi ya
course kama vile CBE,na vingine vimetoa fulllist of enrolled students
kama vile UDSM,UDOM,JORDAN na vinginevingine!
vp na muce wametoa?
Bado sana man,ikitoka nitakujuza lakini pitia sana kwenye a/c ya Jf
Thread ya mwaka 2013 hii acha kuchanganya watuKuna walionirushwa roho...yametoka kweli?
Kumradhi !...Ila ni NECTA kumbe wametoaThread ya mwaka 2013 hii acha kuchanganya watu
Ahahaaaah...Kuna walionirushwa roho...yametoka kweli?
kwaio bdo awajatoaKuweni Na subra mnawahi vyuoni tyu kazi hamna
hizi nyuzi zilitakiwa ziwe closed ibaki kusoma tu sio ku-comment maana mtu aki-comment tu kikawaida uzi unakuwa activated hasa kwa wale wanaopita shortcut kwa kubonyeza kwenye new post, mie mwenyewe kuna dogo amenisumbua sasa hivi nikaingia TCU nikaona system ipo busy, nikaingia JF ambayo ndio reference yangu nikakutana na huu uziAhahaaaah...
Hii KALI..!
Yaani umeenda kuufukunyua UZI wa mwaka 2013..!!!
Kweli vijana mmevurugwa..!
Mwenyewe nilikuwa na sumbuliwa na dogo...ni kagugo(google) wakaniletea uzi huu...mimi nikajua hapa JF be the first to know basi uzi utakuwa wa leo huu sikuangaika na tarehe.hizi nyuzi zilitakiwa ziwe closed ibaki kusoma tu sio ku-comment maana mtu aki-comment tu kikawaida uzi unakuwa activated hasa kwa wale wanaopita shortcut kwa kubonyeza kwenye new post, mie mwenyewe kuna dogo amenisumbua sasa hivi nikaingia TCU nikaona system ipo busy, nikaingia JF ambayo ndio reference yangu nikakutana na huu uzi
Acha kabisa maana system ya TCU ipo busyy nikajua kweli nikaja kwa reference yangu (JF), yakitoka si mbaya kujuzana maana madogo wananisumbua kinomaMwenyewe nilikuwa na sumbuliwa na dogo...ni kagugo(google) wakaniletea uzi huu...mimi nikajua hapa JF be the first to know basi uzi utakuwa wa leo huu sikuangaika na tarehe.