Pia kuna habari kwamba kuna Magari manne aina ya Benzi yako pale Uwanja wa Ndege wa Dar, yametoka Lubya kwa ajili ya IKULU. Mwenye ziada ya habari atujuze, yamekuja na ndege na kwanini yamechelewa kutolewa pale Cargo?
....juzi tuu pinda kaja na story zake kuhusu huu ufisadi lakini cha ajabu wanafanya yale yale,hawa watu hawako serious kwa chochote,nchi haina umeme,wanafunzi wamefukuzwa kwa ajiri ya sababu ya pesa,barabara ni foleni kwa kwenda mbele,bandarini kumejaa mizigo kwa sababu ya uzembe mpaka nchi nyingine wanahamishia biashara zao mombasa ingawaje ina cost zaidi lakini wanaona bora kulipa zaidi ya ile karaha ya pale Dar...shirika la ndege wamekula mpaka wameliua..etc.
Bora walivyotoa tenda hadharani, unaonaje kama yangenunuliwa kinyamela tu? Ingeitwaje? ufisadi dabodabo ama..?
Hapana shaka Wizara hiyo inashida kubwa na vyombo vya usafiri, ukichukulia ni wizara ya Miundombinu, sidhani kama wanapaswa kuikagua Tz yote kwa baiskeli ama ST 11
Bwana asifiwe mkuu,tatizo sio kutangazwa kwa tenda tatizo liko kwenye kinachotangaziwa tenda...serikali yetu na sisi ni maskini wa kutupwa haman haya ya ku spend mil 100 kwa gari moja la kifahari tena FWD lenye kubeba watu 6 mjini dar es salaam...Bora walivyotoa tenda hadharani, unaonaje kama yangenunuliwa kinyamela tu? Ingeitwaje? ufisadi dabodabo ama..?
Hapana shaka Wizara hiyo inashida kubwa na vyombo vya usafiri, ukichukulia ni wizara ya Miundombinu, sidhani kama wanapaswa kuikagua Tz yote kwa baiskeli ama ST 11
Jumla wizara hiyo itahitaji vyombo 410Number Item No.Description Unit Quantity
1 I Executive Station, 4WD Wagon PCS 35
2 I Station Wagon, 4WD Automatic PCS 12
3 I Station Wagon, Manual, 4WD PCS 101
4 I Hardtop (3doors),4 WD PCS 47
I Hardtop (5doors), 4WD PCS 20
5 I I Pickup Double Cabin, 4WD PCS 32
Ii Pickup Single Cabin, 4WD PCS 2
I Motor Cycles, 125cc PCS 35
Ii Motor Cycles, 200 cc PCS 50
6 Iii Motor Cycle side car Ambulance PCS 20
IV Three Wheelers Motor Cycles PCS 10
V Motor Cycles (110 cc) PCS 15
7 I Mini Station Wagon, 4WD PCS 30
8 I Bus 65 Seats PCS 1
....lakini huoni kuwa hiyo balance ingelikuwa bora zaidi kama katika hiyo tenda 'Bus 65 Seats' zingelikuwa kama 3 au nne hivi ili kufyeka ukubwa wa FWD zilizo nyingi huko juu yake? Vi-min bus vingelifaa tu zaidi kwa ajili ya kubeba wafanyakazi zaidi ya 10 at a go na kupunguza magari yanayobeba watu 4 pekee kwa mpigo..
Jumla wizara hiyo itahitaji vyombo 410
Wazo lako ni zuri sana katika suala zima la utunzaji wa mazingira na kupunguza gharama za ununuzi pamoja na uendeshaji. Aidha sina hakika kama hizo 4WD zote zitatumika hapo DSM, kama zitatumika hapo basi hapana haja ya kuwa nazo katika wingi kama huo na ni bora kuwa na mabasi kama ulivyoshauri.
Tz bara ina zaidi ya mikoa 20, na kila mkoa una Resident Engineer/Director ama cheo cha juu katika kuwakilishwa wizara hiyo, hapana shaka zitatumwa huko. Then kuna wasaidizi, kuna watu wa maabara, kuna watu wa research, kuna wahasibu...Kwa hulka ya Bongo hawa lazima watagawiwa katika mafungu na kukabidhiwa 4WD... Kuna kundi la mafundi, wakaguzi n.k hawa wote wanahitaji usafari... naona kuna pikipiki pale, hapana shaka ni kwa kundi hili.
Katika yote ununuzi wa Motor Cycle side car Ambulance bado sijahufahamu vizuri wanakusudia kuzitumia kwa shughuli gani?
1 I Executive Station, 4WD Wagon PCS 35
2 I Station Wagon, 4WD Automatic PCS 12
3 I Station Wagon, Manual, 4WD PCS 101
4 I Hardtop (3doors),4 WD PCS 47
I Hardtop (5doors), 4WD PCS 20
5 I I Pickup Double Cabin, 4WD PCS 32
Ii Pickup Single Cabin, 4WD PCS 2
I Motor Cycles, 125cc PCS 35
Ii Motor Cycles, 200 cc PCS 50
6 Iii Motor Cycle side car Ambulance PCS 20
IV Three Wheelers Motor Cycles PCS 10
V Motor Cycles (110 cc) PCS 15
7 I Mini Station Wagon, 4WD PCS 30
8 I Bus 65 Seats PCS 1
6 Iii Motor Cycle side car Ambulance PCS 20
Naam, na hasa wakati wa mavuno ya karafuu, kisiwa chote unukia karafuu...Je ni kweli upepo wa Pemba unanukia marashi ya karafuu?
Naam, na hasa wakati wa mavuno ya karafuu, kisiwa chote unukia karafuu...
BTW hii ni commercial break ama...?