Confirmed, Nyumba ya Stevin Wassira ilichomwa moto kwenye MO29

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra.
Hii habari nilileta humu watu wakabisha Leo Mzee Butiku amedhibitisha kuwa nyumba ya Wassira ilipigwa kiberiti

Toka MO29 Wassira kawa na adabu kwelikweli, anaona aibu kutoa kichwa.

MO29 imekuwa game changer kwenye political atmosphere ya Tanzania
 
Utajua mwenyewe ila MO29 iliweka blue print kuwa Watanzania sio wanyonge, kiberiti kilitembea sawaa😋
Wako wapi!?..mi naona picha watu wamerundikwa kama ng'ombe wamepigwa radi,siyo wanyonge mbona hawakurudia Xmas,9/12 na mapinduzi!?
Walikua hawajui wale serikali ni nini sasa hivi wamejua,hamuwadanganyi
 
Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra.
Hii habari nilileta humu watu wakabisha Leo Mzee Butiku amedhibitisha kuwa nyumba ya Wassira ilipigwa kiberiti

Toka MO29 Wassira kawa na adabu kwelikweli, anaona aibu kutoa kichwa.

MO29 imekuwa game changer kwenye political atmosphere ya Tanzania
Si amini kama ipo siku mtarudia kuingiza pua zenu barabarani tena.
Mlipata tiba stahiki, sasa mnahangaika na ICC. na yenyewe inaogopa kama nyinyi😀😀
 
Wako wapi!?..mi naona picha watu wamerundikwa kama ng'ombe wamepigwa radi,siyo wanyonge mbona hawakurudia Xmas,9/12 na mapinduzi!?
Walikua hawajui wale serikali ni nini sasa hivi wamejua,hamuwadanganyi
Kitendo Cha kufa na bado wakabisha siku 6 kama vile wale ni mashujaa kama wangekua na bunduki wangeichukua nchi kabla ya saa 6 mchana maana imejidhihirisha mashoga ndio walikua wameshika bunduki sababu mtu Hana bunduki anakusumbua siku sita inaonesha wewe ni shoga hupaswi kushika hiyo bunduki
 
Si amini kama ipo siku mtarudia kuingiza pua zenu barabarani tena.
Mlipata tiba stahiki, sasa mnahangaika na ICC. na yenyewe inaogopa kama nyinyi😀😀
Umesafisha kweli hapo katikati ya mfereji chini ya UTI wa mgongo maana Kuna harufu Kali naisikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom