Confirmed: No DECI Refunds

thanks for that information
me ni mmoja ya waathirika wa janga hili
leo nimepata hasira sana when i was on the way back 2 home nimekutana na jamaa ananiambia kuna mtandao mwingine unaitwa MATOPON unanunua form 5 kwa elfu 25 kila form itakuzalishia laki 5 vipi serekali haijatambua wezi wengine kama hawa na form ina tin #
 
1594061961369.png
 
Source: The Guardian
Serikali ya ccm wakajiamulia kwa utashi wao na kuona ni sawa kuchukua zile pesa za wanachi za DECI na kuzifilisi as if hawa wananchi walikuwa wanahatia..... Anyways CCM ili milioni mbili na laki nane yangu iliyokuwa imefikia muda wake wa kuikusanya kutoka DECI halafu ninyi na viherehere vyenu mkaona ni sawa kuidhulumu kwa kuichukua mabaazazi wakubwa ninyi mtakuja ilipa oneday....
 
Back
Top Bottom