Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,846
- 172,476
Evelyn Salt we endelea kupenda penda mshiko tutaanza kutumia mzizi wa Congo goli moja masaa 3
Nini masaa matatu, hata yawe matano sina shida mie!!!!
Evelyn Salt we endelea kupenda penda mshiko tutaanza kutumia mzizi wa Congo goli moja masaa 3
Nini masaa matatu, hata yawe matano sina shida mie!!!!
Mwanamke mizinga babu weeh. Usipompiga mizinga mpenzio si ataona haumpenzi, lol
Hahaha, unapata hasira tu kwa sababu hauna cha kupigwa mzinga. Mbona akidokoa nyama kwenye chipsi zako haumind? Samahani lakini kama i hit where it hurts.....Ovyooo
Ukitumiwa sms isemayo, "nikwambie ktu!". Usijibu niambie, kwan ni mzinga unafuata.
Hahaha, unapata hasira tu kwa sababu hauna cha kupigwa mzinga. Mbona akidokoa nyama kwenye chipsi zako haumind? Samahani lakini kama i hit where it hurts.....
Mwenzio niliambiwa 'baby, naomba unipokonye hii simu'
nikajichekelea manake ilipoletwa niliiangalia nikasema hii ingenifaa but im too proud to ask. Kumbe mwenzangu anaskia raha kupokonywa. Hujapenda wewe!
Heheee lool!! Unaanza
you: Bby unanipenda?
Him: Sana bby wangu,kwan vip?
You; hamna mweziio nmekumisss.. Anyway umekula mpenzi?
Him: dah ndo nataka nkale mama
you: umevaa nini mpenzi wangu?
Him: kawaida tu.. Ile shat flan na trouser..
You: waoh umependeza bby.. Hmm af staki ao wadada hapo ofisin wakuzoee...(apo kushney habari yake)
him: (anakenua tuu)usijal mama .. Weye tena
You: (uspoteze point) poa hny..af nkwambie kitu mylove...
Him:: mh hmm sema mamii..
You: (kwa sauti lainiii..kama ndo siku ya kwanza mnpigiana simu)..
Bby naomba lak3..nnashida ad nahis kuzimia mmewangu..nyie maisha haya!!yan kaama unaweza unimpese leo au kama huna, fine promise me nkufate lini ofisini?
Him: apo hamuna ujanjaaaaa....)itakubidi uitikie hata kwa kichwa!!lol
You:bby are u therreee?
you: poa bby..i love u..hmmuah..ukale eh..unywe na maji mengi plz..usijeumwa kichwa mpenzi wangu..bye e..
Ha ha haaaa haa
Aisee hiyo imenikumbusha siku nyingi sana......ya kwangu ilianzia hivi......... Mambo D....Naomba nisindikize mahali leo saa kumi....... nilkamuuliza wapi tena D? akaniambia ni suprise....mzee nikajua naenda kupewa mambo juu ya mti nini...... mida kufika nikampitia nikaonyeshwa njia mpaka Rose garden...nikajua tunapaki naona mtu kimya.... kona ya kwanza ...kimya ...ya pili ...kimya ..ya tatu nikaaambiwa kata hapo D....nikakata alafu akaniambia tume fika...kuna kama geti jeusi hivi......tukagonga mlango ukafunguliwa tuapita uwani kwa nyuma kuna kanyumba kaself....kaomba funguo kwa huyo mama kapewa ..kafungua ...mzee kuingia ndani kuona nyumba tupu nikajua ohoooo.......mara kamwita mama, natambulishwa mimi ndio mme wake.....wakati hata miezi miwili ya mahusiano hatuna......mara anamuuliza mama kwa sauti.....mama ulisema sh ngapi tena? mama anajibu ...milioni sita mwanangu....mkataba ni wa mwaka....... tuakamaliza akagaaga haya mama tutarudi kesho asubui kulipa.
Ndani ya gari anaanza...sasa D tutafanyaje kuna pesa yangu imekwama mahali naomba basi uniongezee milioni tano ikitoka tu nitakurudishia......kidogo nigonge gari kwenye mti kwa mshtuko nilioupata.........nilimwambia haina shida we nipe siku mbili nitakukamilishia......nikaenda kwake.......nikapiga mashine kisawsawa mpaka asubui nikavaa nikasepa job......Toka siku hiyo hajaniona tena...namba ya simu nilibadilisha.....ofisini akija niko busy....
Toka nimeoa sijawai hata kuthubutu kufikiria nyumba ndogo kwa uzoefu nilioupata.
iMwanamke mizinga babu weeh. Usipompiga mizinga mpenzio si ataona haumpenzi, lol
mie nahisi kama kweli vile, wamepikwa na mtu mmoja,Iv mwalimu wao ni mmoja eehn!
Swts yaani leo naumwa sijui malaria naelekea hospital. ........................................, nimetoka hospital nahitaji juice machungwa kwa wingi, siunajua tena dawa zinavyochosha.guta mylove...me siunajua tigo situmii..hmm unataka kumpigia nani?me mdogo wako wa boarding kanibeep hapa..rusha hiyo voda basi nmpunguzie.. Ungerusha kwa mpesa ili nipate bonus..hmmmuaahh shingoni bebi'angu
Swts yaani leo naumwa sijui malaria naelekea hospital. ........................................, nimetoka hospital nahitaji juice machungwa kwa wingi, siunajua tena dawa zinavyochosha.
poa usijal mpenzi.. Pole sana, ngoja nije nikatoe hela atm au mpesa.. Iweke atm karibu.. Nakuja kukukamulia juisi mwenyewee.. Apa sina hata kumi.. Nakuja na tax kamata elf 5 mkononi!!!..hmmmmuaaah!!
sound yako tu!sabuni nikutaka mwenyewe kujiwekambali na sida!lol!!Bahili yake sabuni tu!!!!
sound yako tu!sabuni nikutaka mwenyewe kujiwekambali na sida!lol!!
Utajaza mpenda papuchi za dezo!!!