hahaaa yani mikwaga mtegoni mnasinziajee kama panya aliepewa sumu!asante sweet. hata hiyo inatosha usijali, ukimcheck kamaind,---- unajua nimekuta ATM hazifanyi kazi, kesho nitakutumia kwa mpesa. ----- sweet nkwambie kitu, hivi unajua kupendwa hadi ukajifeel? --- .