Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Ni kweli hata me ilinshantokea sana,nilikuwa na ngapepe anasoma St John univrsty Dom ndo ilikuwa zake.Inaweza kupita hata week hajaniita beib ikiwa pamoja na kutontafta mpaka mie ndo nimuanze.Ukitumiwa sms isemayo, "nikwambie ktu!". Usijibu niambie, kwan ni mzinga unafuata.
Basi akiwa na shida anaanza kunitafta sa 11 alfajir na kutuma sms mara bby,hny etc,ukijib tu anatuma nyingne ''NKUAMBIE KITU BEIB'' AU ''MWENZIO NNA SHIDA'' mara ya kwanza alinchuna njururu kadhaa bt baada ya kujua tabia zake nkawa sijib,akiona kimya basi siku nzima atanipigia bt still namkaushia sipokei wala kujibu sms.
Mwisho wa siku nkamtupia kule maana madem wa dizain hiyo washenz kabisa.Ila nashukuru nilimtoaga BIKRA kipindi yuko form five bado hajachetuka.