Hawahesabu, wanafanya maarifa!wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
sio peke yake na Tandale One!!!!!!!!malaria sugu mbona haonekani kutoa tathmini ya uchaguzi