Mpaka sasa matokeo ya #Uchaguzi jimbo la Mbeya mjini hayajatangazwa na kuna umati mkubwa sana wa Wananchi wanangoja kusikia matokeo wakigoma kurudi majumbani. Polisi wamepiga mabomu ya Machozi ila kwa sasa hali imetulia. Taarifa zinasema kwamba mpaka sasa Joseph Mbilinyi anaongoza kwa tofauti ya wastani wa kura zaidi ya 12,000.
nikweli wametangaza source star tv wameutuunganisha na ofis ya msimamiz wakati akitangaza matokeo, ukweli chadema wameshinda