Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA wanyakua jimbo la Ilemela

Siwez sema tena mambo yalivokwenda,,, jioneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



masha hoi


dialo pwaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Very very very very very trueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Nimeongea na mdogo wangu aliyepo Mwanza Ilemela alikuwa akitokwa machozi ya furaha kwa kura yake kulipa na ameniakikishia mkurugenzi ametangaza baada ya ofisi ya CCM kuchomwa moto! Mwanza iko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
kamua baba kamua babaaaa, kamua usitumie hiriziiii, (CCM) wasijisifu nakujigambaaa HATA WASHAKAJI TUKAWAONA CHIZIIIIIIIIIII
 
Nasikiliza BBC hapa, confirmed ilemela imeenda kwa CHADEMA! Hongereni wana ilemela!
 
nikweli wametangaza source star tv wameutuunganisha na ofis ya msimamiz wakati akitangaza matokeo, ukweli chadema wameshinda
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee ,sasa nitafurahi kuishi mwanza ya CHADEMA
 
Na huyo Baruan Muhuza aliyekuwa ananarrate kwa mbwembwe akimsifu JK kinafki kwenye kipindi cha KIKWETE 2010 akome kabisa.Kijana mdogo unakuwa na mawazo ya kikoloni !!!. AIBU
 
Na huyo Baruan Muhuza aliyekuwa ananarrate kwa mbwembwe akimsifu JK kinafki kwenye kipindi cha KIKWETE 2010 akome kabisa.Kijana mdogo unakuwa na mawazo ya kikoloni !!!. AIBU
Kwa mtazamo wangu Baruan Muhuza, Yahya Mohamed, James Range,ni wanamapinduzi na wazalendo wa kweli. Tatizo liko kwa Thom Chilala na Paul Mabuga, hawa jamaa wako kama vile wamelishwa Limbwata na CCM.
 
Huwa nawaza kama Dialo na Masha ni chali tena watu wa uko JK itakuwaje na ukizingatia Kanda ya ziwa are the most populated
 
Hahahahahahahah Diallo Kasafishe vile nyeti vyako vya kughushi kwa kwenda tena darasani.
 
Ndoo tabu imefika mwisho , mwizi alikimbizwa kimya kimya bila kumstua, nimeipenda saaaana.
 
Hizi ni habari njema. Mwanza mwaka huu tumeamua hakuna mchezo. Nashangaa kura za urais NEC hawataki kutangaza au ndo wanazichakachua maana huko ndo kuna wapiga kura wengi.
 
Back
Top Bottom