Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Kwa mujibu wa ITV 19000+ CHADEMA dhidi ya 11000+ za CCM
Hizi round-figures vipi?bukombe imetekwa na chadema, me nimeongea nao rafiki angu minengo:israel: kura 19000 kwa 11000
toa figure
Habari sana nawapongeza sana watu wa Mkoa wa Shinyanga na Kigoma kwa kazi nzuri. Mabadiliko yako hewani nchi yetu katu haitakuwa kama ilivyokuwa inatawaliwa miaka 25 iliyopita.NIMEONGEA NA JAMAA YANGU YEYE ALIKUWA WAKALA AMESEMA prof .Kahigi katangazwa mshindi MAJIRA YA SAA 10.00
Sasa hivi tunandaa shehere ya kufa mtu tumechinga ng'ombe 4 kwa ajili ya kitoweo cha wapendwa wapiga kura.Hii ni taarifa ya uhakika maana mimi niko mji mdogo wa Runzewe ila makao makuu ya wilaya yako mji wa Ushirombo. kwa hiyo niko mbali kidogo ndiyo tunamsubili prof.na wapambe wake wanatokea huko halmashauri.kumbukeni Prof.anaishi mji wa Runzewe
Hizi ni taarifa za uhakika wala msiumize vichwa nitawaletea idadi ya kura nikizipata
BADO SHINYANGA MJINI NASIKIA MAKAMBA YUKO HUKO ANALAZIMISHA MATOKEO YATANGAZWE.CHADEMA KATANGAZWA KIKWETE AKAPINGA JANA ALIKUJA USIKU KUSHINIKIZA.nimeambiwa SLAA YUKO HUKO SHY TOWN
Mimi siamini kwanza mpaka ishuhudiwe na wengine piaSource:ITV live
data plze