Elections 2010 CONFIRMED: Bukombe yaenda Chadema... Prof. Kahigi ndani

NIMEONGEA NA JAMAA YANGU YEYE ALIKUWA WAKALA AMESEMA prof .Kahigi katangazwa mshindi MAJIRA YA SAA 10.00 Sasa hivi tunandaa shehere ya kufa mtu tumechinga ng'ombe 4 kwa ajili ya kitoweo cha wapendwa wapiga kura.Hii ni taarifa ya uhakika maana mimi niko mji mdogo wa Runzewe ila makao makuu ya wilaya yako mji wa Ushirombo. kwa hiyo niko mbali kidogo ndiyo tunamsubili prof.na wapambe wake wanatokea huko halmashauri.kumbukeni Prof.anaishi mji wa Runzewe Hizi ni taarifa za uhakika wala msiumize vichwa nitawaletea idadi ya kura nikizipata BADO SHINYANGA MJINI NASIKIA MAKAMBA YUKO HUKO ANALAZIMISHA MATOKEO YATANGAZWE.CHADEMA KATANGAZWA KIKWETE AKAPINGA JANA ALIKUJA USIKU KUSHINIKIZA.nimeambiwa SLAA YUKO HUKO SHY TOWN
Sheria ya gharama za uchaguzi inasemaje?
 
.......Wahaya wamenitia haibu. Siendi Bukoba mpaka miaka mitano iishe. Nikienda huko nitawatukana bure wakianza kunieleza shida zao. Sijuhi wamechagua CCM kwa kulidhika na nini?

Hakika tumetia AIBU!
 
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Kanda ya Ziwa.
Wahaya wamenitia haibu. Siendi Bukoba mpaka miaka mitano iishe. Nikienda huko nitawatukana bure wakianza kunieleza shida zao. Sijuhi wamechagua CCM kwa kulidhika na nini?

uwezi jua labda kura zimechakachuliwa.Mbona uraisi wamempa Dr wa ukweli?
 
Back
Top Bottom