REKIK EL SHABAZZ
Member
- Jul 15, 2019
- 46
- 23
Si dollar sign...ni hii. $Na kama ni dollar sign basi wakati unafanya confirmation ukiifikia kamata shift kwenye pc yako na namba 4 kwa pamoja then endelea na zingine

Ipo kwenye pc hp minya shift na 4 utaikuta au aina gani ya pc unatumia!!!hata kwenye siku ipo pia