Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

leo kweli nadhibitisha ule usemi usemao jf kuna wachawi waliobobea na majini!!!!!!!khaa huu ni mfano tosha #okbye
 
Mwenyezi mungu aninusuru na Ndugu kama wewe,hata kama mbaya niwakwako wewe kwa style hii unaweza hata kuua,kuna watu ndugu zao Mashoga na wanakua nao wengine ndugu zao Malaya kupitiliza na wapo nao,umeona kumtokomeza kusikojulikana ndio jawabu zuri? jee ungetumia huyo Nyamwicho wako kumtuliza ingekua mbaya?
Ivi kweli unalala usingizi wenye amani wakat unajua umefanya maovu kwa ndugu yako?
 
It was not about him. It was about me and other good members of our family.

Pamoja na yote, huyo anabaki kuwa ndugu yako tu! Kwani walevi walio barabarani hawana ndugu, Angalia dhambi ya moyo wako yaeza kuwa kubwa kuliko ya huyo ndugu yako
 
Mungu amenileta duniani kufurahia maisha. Sio kukarahishwa.Hata ukiwa jasiri kiasi gani, huwezi kukaa na nyoka ndani. So hata kaka yako akiwa Alshaabab, utakaa naye tu? kisa ndugu yako!!
 
Pamoja na yote, huyo anabaki kuwa ndugu yako tu! Kwani walevi walio barabarani hawana ndugu, Angalia dhambi ya moyo wako yaeza kuwa kubwa kuliko ya huyo ndugu yako

Yesu akaambiwa, ' Mama yako na ndugu zako wanakusubiri hapo nje ". Yesu akawajibu "Ndugu zangu ni wale wanao nipenda na kufuata maagizo yangu ".Hata Mungu anawapenda wanao mpenda
 
Kumbe Kuna misukule, Gwajima akiirudisha watu wanasema mazingaombwe, wakati hii ni kitu halisi
 
Nini maana ya ukiri ikiwa hakuna sehemu unayojutia kwa uliyofanya? Nadhani rudi kwenye heading ibadili...futa neno confession bakiza ''nilimfukuza ndugu yangu kichawi''
 
Hongera kwa jambo ulilolitenda, hongera sana

Ila muda si mrefu jinamizi la kaka yako litaanza kukusmbua hadi na wewe uhame upotee
 
Dah I wish hio dawa ingeweza kutumika kwenye siasa pia, tungeitumia kuwafukuza CCM wote aisee na mafisadi wote Dah Mpwa hebu waulize kama haiwezekani kufanyia modification kidogo
 
Mungu amenileta duniani kufurahia maisha. Sio kukarahishwa.Hata ukiwa jasiri kiasi gani, huwezi kukaa na nyoka ndani. So hata kaka yako akiwa Alshaabab, utakaa naye tu? kisa ndugu yako!!

Nenda mwezini ukae peke yako
 
Hongera kwa jambo ulilolitenda, hongera sana

Ila muda si mrefu jinamizi la kaka yako litaanza kukusmbua hadi na wewe uhame upotee

Hakuna kitu kama hicho.I am feared by people and spirits!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mungu amenileta duniani kufurahia maisha. Sio kukarahishwa.Hata ukiwa jasiri kiasi gani, huwezi kukaa na nyoka ndani. So hata kaka yako akiwa Alshaabab, utakaa naye tu? kisa ndugu yako!!
hujasema Alshabab umesema mlevi anavuta sijui nini na mkorofi hajakua nyoka,mwenyezi mungu atamnusuru popote alipo.
 
Dah I wish hio dawa ingeweza kutumika kwenye siasa pia, tungeitumia kuwafukuza CCM wote aisee na mafisadi wote Dah Mpwa hebu waulize kama haiwezekani kufanyia modification kidogo

Buhahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hujasema Alshabab umesema mlevi anavuta sijui nini na mkorofi hajakua nyoka,mwenyezi mungu atamnusuru popote alipo.

Amen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! But me nimetimiza wajibu wangu...Jamaa alikuwa threat kweli kweli. Analeta ulevi wa kingese..unaenda kuwanywea watu, kila siku kesi, shida inakuwa kwa maza.... Tukimtumia maza mkwanja,anaenda kumtishia na mapanga apewe hela ,anachukua hela kwa nguvu anaenda kulewa.Na maza wetu ni mjane sasa hivi..Anahitaji kupata faraja kutoka kw watoto wake..Kitu gani kinamstahili hayawani kama huyu?HE IS 33 YEARS OLD!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Swala la kuwa kama msukule hujalikwepa; maana ata saiz ni hajitambui na akili yake imeshikwa ndio maana hawezi kukumbuka yeye ni nani na kwao wapi.

Ulichomfanya umemfanya msukule ndugu yako.Sio jambo zuri kufanya.Kama ulishindwa kumsaidia ungempeleka kwa wanasaikolojia au viongozi wa dini.Ukishindwa muache awe huru kama hawezi kumuona akiwa hivyo basi ungehama wewe ukiwa na akili yako.

Ulichofanya ni unyama na unapaswa ujionee huruma wewe mwenyew
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…