LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,303
Habari zenu wakuu!Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. First of all,let me refresh your memories.Mwaka jana niliandika uzi kuhusu kukerwa kwangu na kaka yangu wa damu,kutokana na tabia zake ambazo kusema ukweli zilikuwa a disgrace for our family.
Kwa ufupi jamaa alikuwa amejiingiza kwenye ulevi wa pombe kali za kienyeji, uvutaji wa bangi ulio kithiri na kujiunga kwenye makundi ya fujo na vurugu.
Tabia na mwenendo wake vilikuwa a disgrace (fedheha)to our family. Tulijaribu kumshauri na kumsihi kwa kila namna lakini hakubadilika. Tukamtafutia kozi mbalimbali za kusoma,alakini where( wapi )..Akapewa mtaji wa biashara,wapi...Akatafutiwa kazi,wapi..!
Yeye anachokitaka ni ulevi,bangi, na utemi...
Nikaona isiwe tabu...
Wazigua wana uchawi wao fulani hivi,unaitwa SUNKHWA . Yaani maana yake fukuza. Hii inaitwa 'SPIRITUAL EXILE ". Unamfukuza mtu asiye faa kwa kutumia uchawi..
Wazee wa kimbulu, wana uchawi wao pia, unao fanana na sunkhwa. Huutumia uchawi huu,mkuwafaukuza watoto wenye tabia zinazo dhalilisha na kufedhehesha familia.
Ukifanyiwa uchawi huu, utaondoka kwenu na kwenda mahali utakapo pachagua wewe. Hutorudi tena nyumbani kwenu.Hutopakumbuka nyumbani kwenu ukiwa unaishi. Utakumbuka nyumbani kwenu siku utakayo kuwa kaburini...
So personally, nikaamua kumpiga sunkhwa huyu jamaa. Aliondoka siku moja,tangu tambiko hilo lilipo fanyika.
Kwa sasa sijui yupo wapi na sitaki kujua yupo wapi.Alinifanya nikufuru Mungu kwa kumwambia,kwanini umetupa ndugu asiye faa....

NIMEMTOSA BAHARINI, SAMAKI WAKE ATAMMEZA HUKO..................