Nishakuelewa nafikiri nawe utakuwa ushanielewa.. si unajua Tena msukuma hawezi kulala na ugali nao ulale! Lazima ugali ulale tumboni kwa msukuma..😂Mimi sio Yuda Iskariote wa vipande vitatu vya fedha(labda almasi)
Kuna nini Kilindoni?Niko Kilindoni Mafia hapa
Sio konyagi tuu hata wine za kupima sijui wanaweka na K vant kidogo?. Nilikunywa juzi glass moja sijui hata nilifikaje nyumbani aiseeMkuu kuwa makini, Konyagi za siku hizi zimechakachuliwa!
Babu yangu aliniusia, usiamini sana ahadi za wikend
If you love her keep her safely and you know how kenzy is so safely space for her.. be a good man..😊Nampenda Dinah. SIWEZI!
Kigego tayari mbona yule nae mpk tutumie nguvu kubwa hivyo.. huko ni kusumbua mizimu..😅Mwache binti wa watu afurahie maisha yake.. Labda nikufanyie kwa yule kigego
Karibu nikuelekeze MitaaMishe tu mkuu
Hii value Na Dawa ya mswaki ndo ipoje?Natumia hii mkuuView attachment 1934914View attachment 1934915
Duuuu broNiliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima.. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo.. Na nikapata amani kubwa moyoni
Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi.... Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe! Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho
LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana... Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli ...VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao...!
Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana
Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa ... Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena.. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno.. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao!
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu.. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee.. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu