Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Ni katika kutaka aamini uchawi just to show her! Mi sitamtesa we fanya maruhani tu ajionee dunia.. hukusikia Yale maneno ya abishae hufunguliwa..? Tumfungue Sasa..
Umeharibu sasa kuja upenuni
 
We are brothers Chief, but we are human being as well. No one is exceptional when it comes to temptation and challenges.

Kutoka 14:14​

BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
Neno hili likawe manukato na kufanyika baraka kwetu sote kwa waamini na wasioamini
 
Back
Top Bottom