Arusha Kilimanjaro
Member
- Jul 6, 2026
- 21
- 59
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Wala huhitaji ushauri kwenye hilo, wewe amua kuacha hiyo tabia mara moja. Ukiendelea kuna siku hautapost humu tena.Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Jitahidi kwa namna zote uachane na hiyo tabia.. Mwisho wake huwa mbaya na pia kumbuka mtenda hutendwaLengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Nashukuru na mimi nimebahatiwa kumla mkeo!Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Mke anauma mjomba
ππππ.... mke wa mtu ni mtamu kama tembele la bondeni.
Atakuja kupachukia sana Dodoma kama watamuacha hai.Unacheza na kifo /kazi yako.
Ila siku ya kufumaniwa yatakuwa machungu kama mchunga au figiliππππ.... mke wa mtu ni mtamu kama tembele la bondeni.
ChaiiLengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
π€£π€£π€£! Mchunga nuksi sana,Ila siku ya kufumaniwa yatakuwa machungu kama mchunga au figili
Atatengenezewa historia ambayo hatoisahau hapa duniani mpaka ahera.Atakuja kupachukia sana Dodoma kama watamuacha hai.