Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Mke wa mtu alinitafuta sn.Niligundua hivyo ilikuwa ni jukumu langu kumkwepa japo ilikuwa kazi coz tulipanga mji mmoja.
Siku hiyo nilipatikana!! Alijua nipo ndani alisukuma mlango na kuingia.Mida ya saa mbili asubuhi, ohooo ana kanga 1 tu.
Aliitupa kule,yani yule mama aliniambia maneno yalonifanya nitetemeke kidogo nizimie."Wewe mtoto Leo utanifanya tu,usiponifanya napiga kelele unanibaka.

Niliogopaaaaa,sikuwahi kuogopa vile.Basi nilifanya mmmh kushtukia hivi mtamu balaa.Wadada watu wazima ni watamu asikwambie mtu!!!
Ilikuwa ni ka mchezo akio ndoka tu Mme yumo geto, atatoka saa tano.Alikuwa ananipa dozi nje nje yoteeeee.Nashukuru nilihama aisee.
Bado mpaka Leo ananitafuta.
 
Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...
unahamhama kama kunguru.. kisa pochi nyoya...
 
nilikutana nae kwenye media fulani nikawa naumwa akanijali kuzidi bf wangu basi nilivyopona akanialika maeneo tukapiga glass kadhaa za wine nikarudi home ikawa mazoea tunatoka we have funny together na kunimwagia mapesa hapa kwa kweli aliniteka baada ya muda tukawa sehemu tulivu tunakula wine kama kawa akasogeza lips ndugu yangu nakaataaje wakati nishakula kama M fulani hivi nikatumia u fundi wangu wote kwenye kukiss hallo alidata na alikuwa hajui kukiss mshamba. na mi sema najua nilisisitiza ajali familia yake tu huku na mi anipe pesa muhimu .. nilimwacha alivyompa mkewe mimba sitaki dhambi mimi ya kutesa malaika wa bwana hasa wakiwa tumboni mwa mama zao.... mchepuko siyo dili baki njia kuu
Na wewe.. ! Nilikuwa nimeanza kupata appetite ya kuoa imeondoka ghafla.
 
Back
Top Bottom