Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,624
- 47,335
Wasalaam wana jamvi.
Direct kwenye point. Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya swala la kucheat katika ndoa ( sizungumzii wapenzi ambao hawajaoana). Ili swala sidhani wahusika kama huwa wanalifurahia japokuwa mara nyingi huwa kunasababu inayopelekea kufikia huko.
Katika njia ya kujua chanzo cha ili tatizo ningependa kusikia confessions za members,ilikuwaje ukaingia kwenye huo mtego??
Nikianza na mimi. Nakumbuka siku hiyo nilipokea text ya tafadhali nipigie katika simu yangu toka kwa mke wa jirani yangu. Nilipompigia alitaka kujua nipo wapi alafu akaniambia kama naweza nifike kwake mara moja.
Baada ya mishe zangu niliweza kufika bila wasiwasi maana tumezoeana kimtindo. Kufika,nilikaribishwa sebleni then zikaanza story za hapa na pale,mwisho wa siku akaanza kunisimulia juu juu matatizo aliyokuwa nayo but akawa anaficha some details (sikuuliza sana maana nilihisi hakuwa comfortable kuyaelezea).
Tulizungumza kwa muda mrefu kidogo nikijaribu kumtia moyo kwa kadiri nilivyoweza,ila nilikuja kugundua katika maongezi yetu alikuwa anapenda ya'base' eneo flan huku mda wote macho akiniangalia usoni. Ukizingatia tulikuwa wawili tu,nilimsogelea kujaribu kama namkiss ila kabla sijamfikia tayari alishafika kwangu na kukutanisha lips zetu.
Badae nilijistukia nikanyanyuka kwa wazo la kuondoka,ila alinivuta mkono nakunisukumizia kwenye sofa alaf akafunga mlango na funguo. Siwezi sema alinizidi nguvu,ila katika mazingira yale sehemu kubwa ya mwili wangu ilinisaliti nakumsupport yule dada. Nikajikuta tayari kwenye himaya yake. Japo badae nilijilaumu na siku hizi najitahidi kuepuka mazungumzo na watu wa hivi katika mazingira private au kama yale.
Je kwa upande wako ilikuwaje??
Karibuni.