Condom za dhahabu

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
438
65
Jamaa alirudi nyumbani kwa furaha na kumwambia mkewe. Mke wangu, nimepata zawadi ya boksi la Condom za dhahabu! nimeshinda shindano la "ishi daima na condom". Mkewe aliyekuwa anataka kutoka alisema kwa furaha "tugawane basi nusunusu, nipe zangu niziweke mkobani maana nilikuwa naelekea sokoni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom