Condom(s) wakati wa Safari

Very simple akiniwekea wakati nakwenda safari labda nisizione nikazikute nimeshafika.Maana nikiziona na mimi nitamuachia za kike nione na yeye atajisikiaje na ole wake nirudi safari na kuulizia zilipo nisizikute hizo sarakasi za siku hiyo zitakosa mtazamaji.Na kwangu nitahakikisha ninarudi nazo zote kumuonyesha imani yangu kwake pamoja na kuwa mie bila mechi za ugenini wala sisikii raha katika maisha.

:becky::becky::becky::becky:
 
Kuna mapenzi hapo kweli? Binafsi siko tayari kumfungashi condoms coz ntakuwa nimemuhalalisha na sitokuwa na sababu za kumuuliza napoona mambo hayako sawa. Huko ni kuhalalishiana uzinzi.
 
Back
Top Bottom