Condom ni muhimu mno Itumike.!

Yani wewe badala ya kuwaasa watu wapunguze uasherati wewe unapigiria msumari wa condom
 
Naunga mkono matumizi ya condom ingawa raisi mstaafu aliwahi katwa vibao kwa kuhamasisha matumizi katika mkutano wa dini
 
Imeokoa watu wengi, na mimi nikiwemo. Ulevi na Uzinzi ni ndugu pacha, acha ulevi, acha uzinzi, muogope Mungu, lakini Ibilisi AKIKUZIDI ujanja tumia KONDOM. Ukikumbuka ulivyosalimika kutokana na Condom, nakwambia utasema uzinzi basi wala huwezi kusema ngoja nipike kazi kondomu ipo.
 
utakulaje pipi na maganda....hapa ni kavukavu yan usikilizie nyama kwa nyama zinavosuguana!!rahaaa
 
Asante mkuu kwa darasa la bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…