wanaharibu maana wanakaa kama kamati na kutafuta neno la kiswahili badala ya kuacha lugha ijipanue yenyewe-mbona tunatumia maneno ya kiarab,kireno n.k
so naon kwa maneno kama kondom,password yaachwe yabakie kama yalivyo-ijulikane ni neno la kigeni tumeazima-kuliko kukaa na kutafuta maneno wanayojua wao wenyewe na kufanya hata sisi waswahili tushindwe kuyafahamu