Condom inepasuka

Condom inepasuka

Oh! Zinahitaji elimu kumbe. Ndio maana mimba za bila kupanga zinaongezeka
Mimi mwenyewe zamani sikua najua, nina rafiki ni mtu wa afya ndio alinieleza hayo. Wengi wanafuatisha ile kumeza ndani ya masaa 72 baada ya tendo ila mengine hawafuatilii ndio mana kelele za kusema dawa hazifanyi kazi ni nyingi.
 
Asante sana kwa kutufumbua macho. Inabidi muwape na elimu wa dada humu jf. Wasije beba zisizo tarajiwa japo kitanda hakizai haramu
 
Back
Top Bottom