Condom inepasuka

Condom inepasuka

20250522_225406.jpg
Watoto ni baraka btw!!!
 
Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
Kufanya ngono huwa ni kwa ajili ya starehe na uzazi tu na kwa wanajeshi ni silaha ya kumdhalilisha adui.

Kwani umemlala ndugu yako au ni mwanafunzi kiasi cha kupanick kwamba utabumburuka?
 
Back
Top Bottom