God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #81
Pole basi ntasubiri mwaya.mwezi mtukufu saivi![]()
Pole basi ntasubiri mwaya.mwezi mtukufu saivi![]()
Ngoma mkuu niliambiwa alikua anatumia dawa.Mwambie mkapime,vinginevyo hakuna ushahidi kuwa ana ngoma
kadiri zinavyotolewaWa kwanza tena Hapa?? Huwa unaziwaije thread??
Kwa taarifa yako tu ni kwamba nimeshawahi kulala na Mademu Watatu wenye Ngoma / UKIMWI / Dally Kimoko wawili sikujua na mmoja nilijua kabisa na wote niliwabandua Kavu Kavu / Nyama ndani Nyama nje / Ngozi kwa Ngozi ila baadae nilipoenda kupimana nao Wote ilithibitika kuwa Wameshaathirika na Kidume GENTAMYCINE nipo bado kamili gado. Hii ilikuwa ni mwaka 2010 Mkuu.
Baadae nikaona nisiamini sana hivyo nikaamua kupima kila baada ya miezi mitatu mitatu tena siyo katika Hospitali zetu za Vichochoroni bali zile za maana na kila nikipima Mwanamume nakutwa mzima sijaathirika. Kama unavyojua Mimi ni Mdadisi niliyetukuka nikaona nisikae kimya hivyo nikawashirikisha Madaktari kadhaa tena wale Specialists / Bingwa kabisa wa haya Magonjwa ambapo niliwapa matukio yangu hayo matatu ndipo na wao Kiutaalam kabisa wakanipa majibu Kuntu / Murua kabisa ambayo leo kwa faida yako na wengineo si vibaya mkayafahamu:
Ni hayo tu Mkuu na nakutakia kila la kheri ila Mimi Condoms situmii na nawabandua 24/7 kavu kavu na bado nadunda na sana sana naona tu nawazika Wenzangu waliokuwa na wanaoniiga Kubandua Watoto wa Watu na wapo baadhi yao ambao sasa wanapiga mno nyuzi za Gitaa la Dally Kimoko.
- Ukimbandua Demu mwenye VVU / UKIMWI bao moja ( 1 ) tu huupati maambukizi ng'o ila hakikisha umemuandaa na kule Mbunyeni mtelezo wa Kutukuka upo.
- Ukipenda sana kulamba Mbunye ( wenyewe mnaita Kuzama Chumvini kumtafuta Papa na Nyangumi ) au kupiga Denda pasipo utaratibu au umakini na Demu muathirika hapo lazima tu utalipiga sana Gitaa la Dally Kimoko ( utapata VVU / UKIMWI ) Na Mimi Demu tu wa fasta fasta huwa silambi Mbunye wala simpigi Denda bali nambandua tu nasepa zangu.
- Mtu yoyote mwenye Blood Group O kupata VVU / UKIMWI ni ngumu kwani waliniambia kuwa Vijidudu vya Ngwengwe havifui dafu kwa Kundi hilo la Damu au aina hiyo ya Damu na bahati nzuri GENTAMYCINE nina Blood Group C ya Kutukuka.
- Mtu yoyote mwenye Pumu / Asthma ile ya Kurithi katika moja ya Koo zake hata iweje hawezi kupata maambuizi ya VVU / UKIMWI kwani uwepo tu wa vimelea vya Pumu mwilini ni Kinga Kwao tosha na bahati nzuri GENTAMYCINE ni Mgonjwa wa Pumu w Kutukuka hivyo Gitaa la Dally Kimoko nimelikwepa. Na wakasema kuwa ukiona Mgonjwa wa Pumu / Asthma kaathirika jua ya kwamba huyo Pumu yake si ya Kurithi / Kuzaliwa nayo hivyo atalipiga mno Gitaa la Dally Kimoko.
hapo sasa niliwaza hivyohivyo lakini umeniwahi tuWe jamaa bwege kweli..rafiki yako alikwambia hivyo ili uachane na demu ili yeye ndo aanze kumtafuna
wewe ukimwi haupoNachukia sana watu wanaopotosha watu humu ndani ila after all kila mtu atalipwa kila anachostahili hii dunia. Kuna mtu anaitwa deception nae anapinga kinoma kuhusu ngoma na anakuja na hoja nzito sasa wengine wamemwelewa huyo ndugu mwisho wa siku.....
sio kama dhana mkuu haupo kabisa ni propaganda tu za mzungu auze madawa yakeboya kabisa utakulaje pipi na maganda yake UKIMWI ni kama dhana tu ukiufikiria unaupata...
Usingekuepo mkuu ungeisha maana wote wenye nao wangekufaBila condom bongo nzima tungekuwa na ukimwi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nyama ndani Nyama nje