Condoleezza Rice, Susan Rice, Kongosho Rice

Hapa nimeingia chaka, hata sijaelewa kabisa kwamba mnazungumzia jambo gani............!
 
wewe Judgement unataka kumpora mshiko alopewa kama kifuta jasho jana baada ya kukaa mnazi mmoja na kuchomwa jua kali? my dear Kongosho pesa unipe nikuhifadhie unapokwenda kuonana na Judgement.

Ni bora nimpe hazina kuliko pesa

tena hazeeki maini....

Tena maini ya mzee huwa na madini ya chuma mengi

Santa sana!
Kwa idhini hii , so far soon hivi nitakuuma, taa'ratiiibu pasi na mnafiki yeyote kujua!

Uje na helmet
 
mamduchu hebu ngoja,kwani hawa Suzan na Condoleeza kwa mzee Rice ni kama King'asti na Cantalisia walivyo kwa Mtambuzi?
Huniwezi mie

Hapa nimeingia chaka, hata sijaelewa kabisa kwamba mnazungumzia jambo gani............!

Naongelea familia ya Rice, not a nobody kama King'asti na Cantalisia
Ni mie na Mrs Rutherfold tu


Hahahahahahah ulikuwa hujui mamito? John na Angela Rice walizaa bana, mwulize Kongosho Rice atakwambia lol
Mtasema sana,
Tena wee bora unibembeleze nikuajiri hg wangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…