Concluded: Ni bora kuoa mwanamke malaya kuliko mlevi

Concluded: Ni bora kuoa mwanamke malaya kuliko mlevi

Aise kweli, tuna mmama jirani yetu hapa lilevi hilo, linapigwa hovyohovyo kwenye kiwanja cha mpira mume wake akipewa viroba tu analala
 
drunk-girl.jpg
zambian-drunk-woman.jpg
drunk-woman-5e0f17d.jpg
upload_2016-10-19_20-21-17.jpeg
drunk-lady-woman-passed-out.jpg
 
Kuna walevi na wanywaji....
Lakin all in all si vizur kuwa na demu mlevi.. atasumbua sana
 
Si rahisi mwanamke mlevi HASIWE MALAYA, labda kama muonjaji ndio anaweza kuwa sio malaya.
 
Utaoaje mwanamke mlevi lazima utakuwa na upungufu wa akili kichwani



pixel
 
Mmmmmmh ndo mnachukia wanawake wanywaji kiasi hichoo.... ina maana humu wake/wanawake /wachumba zenu hawanywiiii??
Anyway mi naona ni perception tu ya mtu mwenyew na jinsi unavyomchukulia mambo......... Ila mimi kama mimi siwezi date au kuwa in relationship na kijana asietumia kilevi yaani jitu liwe sober tu masaa yote hapana aiseee.
 
Sio kweli hata kidogo nina rafiki yangu yaan yy akinywa pombe hatak kabisa kusikia habar ya dudu hata kama alikuahid ana kua mtata ile mbaya ataleta habar za kijohncena tu hapo
 
Mwanamke mlevi hafai ndugu zangu. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mlevi. Ni bora malaya anaweza akawa na self control ila mlevi akishapoteza tu ni hatari, atatiwa hovyo, atapigwa finger hovyo, atashikwa shikwa hovyo nk.

Mwanamke mlevi akiwa na kiu ya bia, unamla kirahisi kabisa kwa bia moja tu. hawana aibu wala haya, anaweza omba bia kwa mtoto mwenye uwezo wa kumzaa na akimlewesha anaenda kumla.

Anyway zote hizo ni tabia mbaya ila ya ulevi kwa mwanamke ni mbaya zaidi.

VIJANA KESHENI MKIOMBA MPATE WENZI TOKA KWA MUNGU.
Mi naona; ulevi+umalaya ni complimentary kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom