According to Jrafiki:
Mapenzi yanahusianishwa na mambo manne kwa mpigo.
1.Upendo wa kawaida ambao ni lazima uwe nao kwa anayekuwa mpenzi wako.
2.Hisia za kimapenzi.Hapa ni eneo pana sana ambalo kila mmoja anasababu zake zimvutiazo mpenzi wake,na ndilo eneo tunaloyumba nalo kila leo,wengne hufikia kujuta na kutotamani kuishi(Hisia za kimapenzi zinapokuwa collapsed).
3.Life status na mawazo tofauti baina ya watu wawili.
Kwa kuwa mapenzi hayahusishi mtu mmoja,aina budi kuoanisha status za maisha yenu na tabia.Ni vigumu kumpata mtu ambaye atakuwa anamechi na matakwa yako(namna upendavyo wewe kumuona mpenzi wako awe).
4.Umri.Hii huwatokea sana wasichana wanaoanza kujiingza ktk mapenz hadi kufikia miaka 28.Weng wao kutokana na umri mdogo hujihisi wana options nyng sn za kuw na mwanamme mwngne endapo mpenz aliyenaye ataachana nae.Minds zao haziwezi kulitunza penzi,kutunza penzi ni aghari sana.
Labda kwa ufupi nihitimishe kwamba mapenzi yanakuja tu yenyewe mwishowe unaoa/unaolewa na mtu yeyote yule kwa wakati huo.
Its difficult to plan and achieve 100% because mipango yako inategemea na matakwa na maamuzi ya mwingne.