Concept of love: Does love come automatically?

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Hellow, help me here please! Nimekuwa na changanywa hapa. Wengne nataka mume mweupe, oh nataka mke mwembamba, nataka niolewe na kipanga . . Mara hivi mara vile. Sasa swali ni je una~identified characteristics za mtu ndio 'unaamua kumpenda' au you happen to love her/him automatically without considering those qualities?
 
Nitakuja kuzungumza hapa,ngoja nimalizane na wife(Kaunga)si mnajua w/end hii!
 
Mi najua huwa inatokea tu hii ya kuchagua mrefu,mfupi ni vya ziada tu...hivi hushangai wale watu wanaojua kusema/kuchambua mtu esp. kwa wanaume utakuta jitu linajidai linajua sana wanawake wazuri akija kuoa unashangaa kaoa kituko tofaut na yale aliyokuwa anayaongea...so inatokea tu bila kupangilia.
 
Hny, pilau lipo tayari na firigisi uzipendazo; karibu mezani sweetie. Nisamehe kwa kuchelewesha msosi, majeans yako yamenichukua muda mrefu kufua!
 
Ronn M
Kuna kupenda automatically hii mara nyingi haiangalii sana vitu vya nje na ukiulizwa umempendea Johari nini, huwezi pata jibu.

Kuna kuwa attracted na mtu ambapo baadaye huresult kwenye kumpenda. Hapo ndipo unaweza sema nimempendea Beatrice miguu yake, tabia yake etc.
 
Mi najua huwa inatokea tu hii ya kuchagua mrefu,mfupi ni vya ziada tu...hivi hushangai wale watu wanaojua kusema/kuchambua mtu esp. kwa wanaume utakuta jitu linajidai linajua sana wanawake wazuri akija kuoa unashangaa kaoa kituko tofaut na yale aliyokuwa anayaongea...so inatokea tu bila kupangilia.

ata shemeji alikua anasema hayo maneno nashangaa eti kagota kwako... hahahahaha
 
it is a bit weird i guess... mara nyingi unakuwa na vigezo fulani fulani kwenye akili yako ambavyo mtu akivi-meet, anakuvutia.... kupenda kunakuja kwenye next level baada ya kuona mna-click together
 
Ronn M
Kuna kupenda automatically hii mara nyingi haiangalii sana vitu vya nje na ukiulizwa umempendea Johari nini, huwezi pata jibu.

Kuna kuwa attracted na mtu ambapo baadaye huresult kwenye kumpenda. Hapo ndipo unaweza sema nimempendea Beatrice miguu yake, tabia yake etc.

Kaunga, hivyo ndio kusema unavutiwa na m2 kisha kumpenda 'kunakuja' baadae? Utakuwa unampenda yeye au the specific part which attracted you?
 
Sasa swali ni je una~identified characteristics za mtu ndio 'unaamua kumpenda' au you happen to love her/him automatically without considering those qualities?

mtoa mada, nadhani ni vema u-define swali lako vizuri ili upate majibu muafaka... katika ulimwengu wa leo wa dot.com, sababu za kumpenda mtu si lazima zifanane na zile za kumuoa/kuolewa na mtu... so are we talking about LOVE or MARRIAGE?
 
it is a bit weird i guess... mara nyingi unakuwa na vigezo fulani fulani kwenye akili yako ambavyo mtu akivi-meet, anakuvutia.... kupenda kunakuja kwenye next level baada ya kuona mna-click together

What if akatokea mwingine mwenye vigezo hivyo? Will love shift?
 
Kaunga, hivyo ndio kusema unavutiwa na m2 kisha kumpenda 'kunakuja' baadae? Utakuwa unampenda yeye au the specific part which attracted you?

Unaweza kuwa attracted na ucheshi wake, sauti, sura, 'pesa', umbo lake. Yaani kuna kitu kinachokufanya umuadmire, mkiwa pamoja unaweza kumpenda kwa undani zaidi!
 
Unakuwa attracted(unavutiwa),(unatamani).toka lini mtu akampenda mtu bila kuwa na qualities fulani kwake anazopenda,msijidanganye,kwenye kupenda kuna kutamani,huwezi mpenda mtu bila kumpenda.Na ndiyo maana vijana wengi wanashindwa kuelewa nini maana ya 'upendo'.Kuna love na chemistry(attraction).Kuna mtu atasema nampenda sana rose,mwingine atasema nampenda sana betty.Why?,kuna somethin behind that so called LOVE..
 
Ni kweli kabisa..Kuna vitu within vinavyokufanya upende.
 
Unakuwa attracted(unavutiwa),(unatamani).toka lini mtu akampenda mtu bila kuwa na qualities fulani kwake anazopenda,msijidanganye,kwenye kupenda kuna kutamani,huwezi mpenda mtu bila kumpenda.Na ndiyo maana vijana wengi wanashindwa kuelewa nini maana ya 'upendo'.Kuna love na chemistry(attraction).Kuna mtu atasema nampenda sana rose,mwingine atasema nampenda sana betty.Why?,kuna somethin behind that so called LOVE..

Does that reason has to be specific or just general qualities of a person that differentiate him/her from the rest? I mean, figure, status, money are they right reasons for love according to your school of thought
 
2 my thinking capacity.i just luk at those.kila mtu ana mawazo yake.i just love a person becouse,i have things in my head that attract me to to fall in love(kumpenda and kumtamani).And kuna vitu lazima niangalie..kwanza,maisha ni kusaidiana.,so ntamwangalia ambae ntaweza kushare nae katika maisha(money).Mtanashati etc.Unatakiwa uangalie mengi kwa kweli.especial kama niwa maisha.
 
Back
Top Bottom