Conbell yamfungia Messi miaka 2!

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
352
Kufutia "comments" alizozitoa mshambuliaji wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi,kwenye mchezo uliowakutanisha Argentina na Brasil

Kwenye mashindano ya COPA AMERICA chama cha soka kinachosimamia mashindano hayo kimemfungia Messi kuchezi mashindano yote yanayoshirikisha timu za Taifa kwa kipindi cha Miaka 2!Aidha adhabu hiyo Haita athiri mashindano yanaoandaliwa na FIFA.

Katika mchezo huo Argentina walikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Brazil waliokua wenyeji wa mashindano hayo,na ambao waliibuka mabingwa wa kombe hilo baada yakusubiri kwa miaka12!

Messi anakutana na adhabu hiyo huku akikumbwa na Nuksi yakushindwa kupata mafanikio katika timu hiyo ya Taifa, akiwa ameiongoza katika Fainali3 tofauti tofauti nahuku kushindwa kushinda ubingwa wowote.

Kauli alizozisema Messi nikua Brazil walibebwa katk mchezo huo huku akiwa tuhumu waamuzi kama ni"corrupt"
 
Hiki kianduje kina roho mbaya sana kama mwenzake kibakuli wa tanzania

Wameshindana wameshindwa wamebaki majungu tu

Kibakuli kila siku utamsikia akisema kuna watu wana nunua viewers sijui yeye kashindwa nini kununua

Huyu adunje kabaki kudai team pinzani zinabebwa akiona mafanikioa ya mwenzake Ronaldo anaumia sana
 
Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.
Kuna penalty ilinyimwa kwa Argentins utasema hawakubebwa?!
 
Hiki kianduje kina roho mbaya sana kama mwenzake kibakuli wa tanzania

Wameshindana wameshindwa wamebaki majungu tu

Kibakuli kila siku utamsikia akisema kuna watu wana nunua viewers sijui yeye kashindwa nini kununua

Huyu adunje kabaki kudai team pinzani zinabebwa akiona mafanikioa ya mwenzake Ronaldo anaumia sana
Hiyo comment ya kibakuli umenichekesha mpaka nimepaliwa aah aah aah!
 
Messi tokea alipoenda kumlilia Guadiola amuondoe Kikosini Ibrahimovic kisa tu anafunga magoli ambayo yanamfunika nilimuona ni mpumbavu kuliko na nilikuwa nawafahamisha watu hawanielewi nadhani kwa comment zake watu washajua andunje ni zero kabisa na ubongo wake uko miguuni
 
Kila mara alikuwa akimlalamikia Higuain akaweka Ngumu icardi asichezee timu ya Taifa sababu anaweza kufunga magoli yakamfunika... sasa hivi kakosa wa kumlalamikia timuni kavaa mkenge kuwasema wakubwa yaliyofuatia ndio hayo bakora mbili swafiiii kama baba swalehe kifimbo cheza
 
Neymar mwenyewe kusepa kuna mengi pale.

Yule jamaa kageuka Mungu Barcelona ndio maana hataki kuhama
Messi tokea alipoenda kumlilia Guadiola amuondoe Kikosini Ibrahimovic kisa tu anafunga magoli ambayo yanamfunika nilimuona ni mpumbavu kuliko na nilikuwa nawafahamisha watu hawanielewi nadhani kwa comment zake watu washajua andunje ni zero kabisa na ubongo wake uko miguuni
 
Neymar mwenyewe kusepa kuna mengi pale.

Yule jamaa kageuka Mungu Barcelona ndio maana hataki kuhama
WIFI yake haifanyi kazi nje ya Barcelona na pale anataka wachezaji wote wasimpite na wakiwa na mpira wampasie yeye tu ukijifanya mbishi lazima uuzwe Mshahara tu hataki apitwe na mchezaji yeyote
 
Kufutia "comments" alizozitoa mshambuliaji wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi,kwenye mchezo uliowakutanisha Argentina na Brasil, Kwenye mashindano ya COPA AMERICA chama cha soka kinachosimamia mashindano hayo kimemfungia Messi kuchezi mashindano yote yanayoshirikisha timu za Taifa kwa kipindi cha Miaka 2!Aidha adhabu hiyo Haita athiri mashindano yanaoandaliwa na FIFA.
Katika mchezo huo Argentina walikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Brazil waliokua wenyeji wa mashindano hayo,na ambao waliibuka mabingwa wa kombe hilo baada yakusubiri kwa miaka12!
Messi anakutana na adhabu hiyo huku akikumbwa na Nuksi yakushindwa kupata mafanikio katika timu hiyo ya Taifa, akiwa ameiongoza katika Fainali3 tofauti tofauti nahuku kushindwa kushinda ubingwa wowote..
Kauli alizozisema Messi nikua Brazil walibebwa katk mchezo huo huku akiwa tuhumu waamuzi kama ni"corrupt"

Mesi akihama timu yoyote na kiwango kina kufa kaabxaa
Ndio maana ameng’ang’ania hapo barcelona
Naimani hata yeye kashalifahamu hilo,bila barca messi hakuna kitu
 
Unaropoka.
Kwa alivyoibeba Argentins yenye wachezaji mabishoo kufika mpk fainal tatu za copa na world cup 2014 utasemaje kiwango hana?!
BARCELONA BILA MESSI NDIO HAMNA KITU.
KWASABABU BARCA INABEBWA NA MESSI NA SIO MESSI KUBEBWA NA BARCA.
NDIO MAANA MESSI ASIPOCHEZA UNAONA KABBISA BARCA INAELEMEWA.
TOA ASSIST ALIZOTOA MESSI MSIMU HUU KTK LIGI NA. UEFA NA TOA NA MAGOLI ITAZAME BARCA INGEFIKA WAPI.
MESSI AKIENDA POPOTE ATAFANYA VEMA KWASABABU YEYE NI PLAYMAKER SIO MVIZIAJI KAMA RONALDO ANAYEMBWERA JUVE.
BARCA INAJIJUA IKIMPOTEZA MESSI ITAPATA PIGO KUBWA SANA NDIO MAANA WANAMNG,ANG,ANIA ANGEONDOKA MAN CITY YULE 2017 AMA 2018 BARCA WAKAIWEKEA MANCITY VIGEZO VIGUMU.
KWASABABU WANAJUA AKIONDOKA HAKUNA MTU WA KUIBEBA BARCA KM MESSI AFANYAVYO.
Mesi akihama timu yoyote na kiwango kina kufa kaabxaa
Ndio maana ameng’ang’ania hapo barcelona
Naimani hata yeye kashalifahamu hilo,bila barca messi hakuna kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom