Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Star wa Argentina ni Di maria
😂😂😂Huyu Messi kilichobaki kwake kuiletea Argentina kombe ni kuliiba Hilo kombe tuu, hakuna namna nyingine
Ndio mkuu.Kwani uraia walimbembeleza?
Ndio mkuu.
Walimsihi sana achague Spain ila akachagua kuwa Argentinian.